Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
endelezeni mjadala,nataka nione kama huyu dokta hatakimbia! Kaveli ngoja nikuongezee [HASHTAG]#Deception[/HASHTAG] aje amkimbize huyo dokta uchwara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgunduzi wa hiyo PCR kiukweli simjui japo niliona video fulani ivi na sikuitilia maanani.
No hawezi ku resist, the reason nikua Virus has the higher ability to replicate.Once virus has entered our body particularly HIV they quickly undergo Geneticall transcription whereby hiv is RNA and human genome is DNA so the virus quickly changes to RNA DNA double stranded then inakua DNA double stranded na kisha inajishikisha kwenye DNA za mtu na inaanza kutengeneza viral parts from human genetical make up as it is then containig viral part. kumbuka wakati kirusi kinaingia kilikua ni RNA sooo antbodies zilitengenezwa specifically kwaajili ya RNA ambapo kimeshabadilika nakua RNA DNA double stranded tena recruitment of fighter cells inafanyika specifically kwaajili yaRNA DNA ambapo tiari anakua amebadilika na kua DNA Double stranded............soooo the only thing kinachoweza kufanyika hali ya resistance kwa hiv ni kukosekana kwa zile structures za aattachment kwenye CD4 cells CXR4 NA XXR5.
NI MTAZAMO WANGU HUO MWENYE ZAIDI NA ALETE TUJADILI
endelezeni mjadala,nataka nione kama huyu dokta hatakimbia! Kaveli ngoja nikuongezee [HASHTAG]#Deception[/HASHTAG] aje amkimbize huyo dokta uchwara!
sawa mkuuSio lazima uelewe kila ukisomacho. Waachie wanaoelewa.
-Kaveli-
Umetokwa na povu bila kutoa facts, yani umefanya personal attack badala ya kuongea Kwan hoja. Lete data tupate shule atutaki porojoKama huna ujuzi na udaktari basi acha kubeza kazi za watu. Nawashauri madaktari msipoteze muda huyu hoax anayejiita deception . Umaarufu au hela hazitafutwi kwa kucheza na uhai wa watu . Mtu anakwambia yuko labaratory wewe unakesha google na youtube ili ubishe . Kama kweli una ujuzi huo nenda muhimbili hospital , amana , au mwananyamala kaaidiane na madokta kuokoa wagonjwa wa ukimwi wanaokufa kila siku .una tofauti gani na babu wa loliondo aliyesema ana dawa ya ukimwi na kuwaita watu waende loliondo baadala ya kuwafuaa hospital . Unaponda tiba za magharibi halafu unakesha huko huko kunukuu tafiti zao . Hulazimishwi kuikubali elimu ya magharibi haya lete ya huko mashariki au yako ya africa itumike kuokoa watu. Au fungua clinic yako jitangaze kama unaisaidia kutibu ukimwi as ulivyosema huhitaji hela ......... Unalazimisha upate deal hadi kudanganya watu umejichoma sindano ya ukimwi ili watu wakuamini . Duh wewe mtu hatari sana . Nashauri huyu mtu akamatwe atengwe na jamii. . Atauwa sana watu walio desperate na kujipatia hela isivyo halal. Tcra wafanye kazi yao
Kuna mambo.mengi lakini nitaelezea kwa uchache sana. Ngoja nianze kwashule kwanzaUmetokwa na povu bila kutoa facts, yani umefanya personal attack badala ya kuongea Kwan hoja. Lete data tupate shule atutaki porojo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa mwathirika sidhani kama ungeandika haya uliyoyaandika.Wakati mwingine ili upate big picture in inabidi utoke nje ya box.
Aliyesema HIV ndio inasababisha UKIMWI ndio huyo huyo aliyeleta na tools kwa ajiri ya kupimia pamoja na utaalam.
Na lazima uzingatie kuwa people are making money, maana hii ni biashara tayari.
Sifa Kubwa ya mtu mweupe ni uongo na hii ndio imekuwa siri ya mafanikio yao, mtakumbuka walipokuja africa enzi hizo na mpaka sasa wanaendelea kutudanganya.
Wanakumezesha uongo na ukizingatia viongozi wetu ni corrupt, basi ukivichanganya unapunguza idadi ya watu dunian.
Na ndio maana nikasema tutoke nje box.Ingekuwa mwathirika sidhani kama ungeandika haya uliyoyaandika.
Issue ya UKIMWI ni utata kama safari ya kwenda mwezini.Dawa iliyogundukiwa na Waingereza mpaka sasa hivi waliofanyiwa majaribio hawajakunywa ARV's tena tangu 2015. Hawajafamikiwavyu kuthibitisha kuwa wakati bows hawa hawatabikiza wengine wako jamii ana bila kinga, hiivitachukuwa muda mrefu kidogo wa utafiti
Ingekuwa mwathirika sidhani kama ungeandika haya uliyoyaandika.
Mkuu experience yangu na ugonjwa huu kwanza inategemea natural immune system ya mtu.Bi mkubwa najua wewe uko katika field hii kwa muda,
Ni kwamba watu wa medical hatupendi kabisa kusikia kitu tofauti na tulichosoma kwenye vitabu vyetu
Nikuulize kitu je umewahi kufuatilia hata kidogo point wanazozisema hawa denialism?
Hawa Deniliasm kumbuka sio watu kama wewe ambao mmesoma historia kwa maana ya vitu ambavyo watu washagundua tayari
Hawa jamaa wanakaa lab na ku-isolate wao wenyewe na wanachallenge kwa hoja na points za msingi ambazo zinatakiwa kujibiwa ipasavyo
Hawa kina gallo wameshindwa kujibu hizo hoja kisayansi
Fanya ka-utafiti uchwara tu kila mgonjwa wa hii kitu muulize kapata lini na ameanza kutumia dawa lini watu wengi ambao hawatumii dawa wapo vizuri kiafya tofauti na wanaotumia(experienced)
Mkuu experience yangu na ugonjwa huu kwanza inategemea natural immune system ya mtu.
1. Kuna wanaokaa na ugonjwa miaka kumi baada ya maambukizi ndiyo wanapata dalili zinazopelekea kupima na kuanza dawa
2. Kuna wanaona za kupata dalili miezi mitatu - sita baada ya maambukizi.
Wote huwa na dalili za kujisikia uchovu CD4 zinavyoshuka na afya ina inatoka walianza ARV's
Kuna maendeleo makubwa sana katika tiba ya HIV lakini wataalamu wanasema hata dawa ikipatikana kuna ambae immune system haitakaa I rudi kama ilivyokuwa.
Nitamsoma mkuuMkuu umewahi kusoma arguments za peter deusberg mm ni mhanga wa PEP mwanzoni mwa mwaka huu na ndicho kilichonipeleka kupenda soma zaidi habari za hawa jamaa wanaopinga
Wanakitu cha msingi dunia iruhusu kuwasikiliza na wafanye kitu pamoja