V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

endelezeni mjadala,nataka nione kama huyu dokta hatakimbia! Kaveli ngoja nikuongezee [HASHTAG]#Deception[/HASHTAG] aje amkimbize huyo dokta uchwara!
 
Mgunduzi wa hiyo PCR kiukweli simjui japo niliona video fulani ivi na sikuitilia maanani.
No hawezi ku resist, the reason nikua Virus has the higher ability to replicate.Once virus has entered our body particularly HIV they quickly undergo Geneticall transcription whereby hiv is RNA and human genome is DNA so the virus quickly changes to RNA DNA double stranded then inakua DNA double stranded na kisha inajishikisha kwenye DNA za mtu na inaanza kutengeneza viral parts from human genetical make up as it is then containig viral part. kumbuka wakati kirusi kinaingia kilikua ni RNA sooo antbodies zilitengenezwa specifically kwaajili ya RNA ambapo kimeshabadilika nakua RNA DNA double stranded tena recruitment of fighter cells inafanyika specifically kwaajili yaRNA DNA ambapo tiari anakua amebadilika na kua DNA Double stranded............soooo the only thing kinachoweza kufanyika hali ya resistance kwa hiv ni kukosekana kwa zile structures za aattachment kwenye CD4 cells CXR4 NA XXR5.

NI MTAZAMO WANGU HUO MWENYE ZAIDI NA ALETE TUJADILI

1. Nakupa homework. Tafuta kwanza ujue anachokieleza huyo mgunduzi wa PCR, kuhusu HIV/AIDS.
2. Hayo yote unayoeleza, tayari yameshajadiliwa sana humu kwa mapana zaidi. Please pitia vizuri uzi huu from page one mpaka mwisho. Naamini utajifunza mengi ambayo nawe pengine huyafahamu.

-Kaveli-
 
endelezeni mjadala,nataka nione kama huyu dokta hatakimbia! Kaveli ngoja nikuongezee [HASHTAG]#Deception[/HASHTAG] aje amkimbize huyo dokta uchwara!

Huyo dokta nahisi hajausoma wote uzi huu. Maana analeta maelezo ambayo wadau & madokta wamecheza nayo widely & deeply kwenye uzi huu.

-Kaveli-
 
Kama huna ujuzi na udaktari basi acha kubeza kazi za watu. Nawashauri madaktari msipoteze muda huyu hoax anayejiita deception . Umaarufu au hela hazitafutwi kwa kucheza na uhai wa watu . Mtu anakwambia yuko labaratory wewe unakesha google na youtube ili ubishe . Kama kweli una ujuzi huo nenda muhimbili hospital , amana , au mwananyamala kaaidiane na madokta kuokoa wagonjwa wa ukimwi wanaokufa kila siku .una tofauti gani na babu wa loliondo aliyesema ana dawa ya ukimwi na kuwaita watu waende loliondo baadala ya kuwafuaa hospital . Unaponda tiba za magharibi halafu unakesha huko huko kunukuu tafiti zao . Hulazimishwi kuikubali elimu ya magharibi haya lete ya huko mashariki au yako ya africa itumike kuokoa watu. Au fungua clinic yako jitangaze kama unaisaidia kutibu ukimwi as ulivyosema huhitaji hela ......... Unalazimisha upate deal hadi kudanganya watu umejichoma sindano ya ukimwi ili watu wakuamini . Duh wewe mtu hatari sana . Nashauri huyu mtu akamatwe atengwe na jamii. . Atauwa sana watu walio desperate na kujipatia hela isivyo halal. Tcra wafanye kazi yao
Umetokwa na povu bila kutoa facts, yani umefanya personal attack badala ya kuongea Kwan hoja. Lete data tupate shule atutaki porojo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetokwa na povu bila kutoa facts, yani umefanya personal attack badala ya kuongea Kwan hoja. Lete data tupate shule atutaki porojo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo.mengi lakini nitaelezea kwa uchache sana. Ngoja nianze kwashule kwanza
Viral diagnostic method
We mainly have two methods
1. Direct method
2. Indirect method

Direct method
This include direct visualization of a viral particle. In this methods , the laboratory scientist can use several techniques to isolate the viris some of them are listed below
I. Viral culture in animals or egg
Ii. Use of electron microscope
Iii.use of pcr to isolate dba
Iv. Northen and southern blotting
V. Western blot
Vi. Sequencing and microarray techniques

2. Indirect method involve the detection of effects or response by the body to viruses. In this method we the laboratory scientist relies on the detection of antibodies produced as rusult of viral infection in the body. Several technigues can be employed here
I. Chromatographic method usng national algorithm
Ii. Elisa which is enzyme linked immunosbent assay
Iii. Immunofluoresce methods which relies on abtibodies not nucleic acids.

Antibodies are always produced againts antigen which might be part of hiv virus like capsid , p24, p7, p17 and other structural components.

Now if you understand this let me know so we i ca. Start more explaination on hiv diagnostic methods
 
Magazeti ya leo yaelza kugundulika kwa kinga ya ukimwi mwenye magazeti hayo alete tusome
 
Wakati mwingine ili upate big picture in inabidi utoke nje ya box.

Aliyesema HIV ndio inasababisha UKIMWI ndio huyo huyo aliyeleta na tools kwa ajiri ya kupimia pamoja na utaalam.

Na lazima uzingatie kuwa people are making money, maana hii ni biashara tayari.

Sifa Kubwa ya mtu mweupe ni uongo na hii ndio imekuwa siri ya mafanikio yao, mtakumbuka walipokuja africa enzi hizo na mpaka sasa wanaendelea kutudanganya.

Wanakumezesha uongo na ukizingatia viongozi wetu ni corrupt, basi ukivichanganya unapunguza idadi ya watu dunian.
 
Ingekuwa mwathirika sidhani kama ungeandika haya uliyoyaandika.
 
Dawa iliyogundukiwa na Waingereza mpaka sasa hivi waliofanyiwa majaribio hawajakunywa ARV's tena tangu 2015. Hawajafamikiwavyu kuthibitisha kuwa wakati bows hawa hawatabikiza wengine wako jamii ana bila kinga, hiivitachukuwa muda mrefu kidogo wa utafiti
 
Issue ya UKIMWI ni utata kama safari ya kwenda mwezini.
 
Ingekuwa mwathirika sidhani kama ungeandika haya uliyoyaandika.

Bi mkubwa najua wewe uko katika field hii kwa muda,

Ni kwamba watu wa medical hatupendi kabisa kusikia kitu tofauti na tulichosoma kwenye vitabu vyetu

Nikuulize kitu je umewahi kufuatilia hata kidogo point wanazozisema hawa denialism?

Hawa Deniliasm kumbuka sio watu kama wewe ambao mmesoma historia kwa maana ya vitu ambavyo watu washagundua tayari

Hawa jamaa wanakaa lab na ku-isolate wao wenyewe na wanachallenge kwa hoja na points za msingi ambazo zinatakiwa kujibiwa ipasavyo

Hawa kina gallo wameshindwa kujibu hizo hoja kisayansi

Fanya ka-utafiti uchwara tu kila mgonjwa wa hii kitu muulize kapata lini na ameanza kutumia dawa lini watu wengi ambao hawatumii dawa wapo vizuri kiafya tofauti na wanaotumia(experienced)
 
Mkuu experience yangu na ugonjwa huu kwanza inategemea natural immune system ya mtu.
1. Kuna wanaokaa na ugonjwa miaka kumi baada ya maambukizi ndiyo wanapata dalili zinazopelekea kupima na kuanza dawa

2. Kuna wanaona za kupata dalili miezi mitatu - sita baada ya maambukizi.

Wote huwa na dalili za kujisikia uchovu CD4 zinavyoshuka na afya ina inatoka walianza ARV's

Kuna maendeleo makubwa sana katika tiba ya HIV lakini wataalamu wanasema hata dawa ikipatikana kuna ambae immune system haitakaa I rudi kama ilivyokuwa.
 
Mkuu umewahi kusoma arguments za peter deusberg mm ni mhanga wa PEP mwanzoni mwa mwaka huu na ndicho kilichonipeleka kupenda soma zaidi habari za hawa jamaa wanaopinga

Wanakitu cha msingi dunia iruhusu kuwasikiliza na wafanye kitu pamoja
 
Nitamsoma mkuu
 
Back
Top Bottom