V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

Siyo kwel mkuu huu ni upotoshaji. Hawa virus tuna detect only antbody zao ambazo huwa kwenye serum na plasma hizi sehemu ya damu baada ya kuchujwa au kuwekwa antcoagulant ndo zna patkana. Nafkiri hamna fluid nyngne kwnye mwli inayoweza kuwa na antbody nying kiasi chaku wezesha contol line kwenye rapid test kusoma.

Ku thibitisha ili kama unayo Test kit ya HIV yyte eka microlitter kadhaa za mate contorl line ikisoma hiyo ita maanisha kipmo kinaweza soma mate, isipo soma basi utapata jibu.

NOTE: Bongo tuna detect only antigen kwa rapid test... na DNA kwa PCR lakn mdudu mwenyewe hatuwez muona maana ni intracellular.
Siyo kwel mkuu huu ni upotoshaji. Hawa virus tuna detect only antbody zao ambazo huwa kwenye serum na plasma hizi sehemu ya damu baada ya kuchujwa au kuwekwa antcoagulant ndo zna patkana. Nafkiri hamna fluid nyngne kwnye mwli inayoweza kuwa na antbody nying kiasi chaku wezesha contol line kwenye rapid test kusoma.

Ku thibitisha ili kama unayo Test kit ya HIV yyte eka microlitter kadhaa za mate contorl line ikisoma hiyo ita maanisha kipmo kinaweza soma mate, isipo soma basi utapata jibu.

NOTE: Bongo tuna detect only antigen kwa rapid test... na DNA kwa PCR lakn mdudu mwenyewe hatuwez muona maana ni intracellular.
How Oral HIV Testing Works | OraQuick In Home HIV Test

Nilisoma hapa
 
Nadhani hukuwa ume mwelewa vzr swal lake ngja niku saidie kidogo rafiki. Kwnye hizi rapid test kuna KIT na Buffer( maji yake) ambayo husaidia damu kukimbia kwenye kipimo chake. Buffer ni maji ambayo PH yake iko 7.0-72 siyo acid wala base. Sasa swali la mdau ni kwamba je unaweza tumia mate badala ya iyo buffer.. kwangu ni ndio maana mate PH yake iko katikat syo acid wala base na ndio maana enzymes wako... unaweza ukaweka mate kama hauna buffer.. pia unaweza tumia maji ya klmnjro, ya mvua, ata physiological saline kama DNS, NS( drip)
haa mym.
Nimekuelewa sana mtaalamu definition hiyo kitu niliitoa humuhumu na niliijaribu majuzi tu sema sikua na uhakika nayo nilifanya kama kamchezo tu fulani maana ivyo vipimo hapa nilipo vipo vingi tu havitumiki vijana waoga kupima[emoji4] [emoji4] [emoji4] .
 
Dawa iliyogundukiwa na Waingereza mpaka sasa hivi waliofanyiwa majaribio hawajakunywa ARV's tena tangu 2015. Hawajafamikiwavyu kuthibitisha kuwa wakati bows hawa hawatabikiza wengine wako jamii ana bila kinga, hiivitachukuwa muda mrefu kidogo wa utafiti
Umeandika visivyoeleweka!!!
Pita kwenye hiyo link chini uone mate pia hutumika kupima HIV
How Oral HIV Testing Works | OraQuick In Home HIV Test
 
Daah umenigusa na hili bandiko miaka kama saba iliyopita nliwahi kuwa ktk mahusiano na binti flan, ktk mahusiano yetu huyu binti alipata ujauzito na alipoanza kwenda klinik aliambiwa aende na mwenza wake kwaajili ya vipimo vya pamoja vya H. I. V, chakushangaza na kusikitisha mwenzangu alikutwa ni HIV positive na mimi nlikuwa HIV negative, nliumia nkamlaum mwenzangu labda katoka nje ikafikia hatua nlmwambia mwenza kuwa yawezekana hata mimba aliyobeba sio yangu, alipojifungua mtoto alichukuliwa damu ktk kisigino cha mguu akapimwa na akakutwa ni negative nkampima na DNA nkakuta ni mwanangu,nkaingia ktk sintofahamu, nliendelea kuwa ktk mahusiano na kufuata ushaur tuliopewa ili mwenzangu asijihic mpweke, maisha yakaendelea huku anameza ARV's nami navaa kinga mwaka jana mwezi wa saba nlitaka mtoto mwngne hvyo kama kawaida tulienda klinik kwa ushaur, cbakushangaza mke wangu alipopimwa alikutwa negative, kizungumkuti kwangu had kwa manesi.... Daah nna mengi ya kusema lkn leo naona mkuu Deception amejaribu kunitoa tongotongo na ukakasi ktk utumwa wa fkra
Cc:
Deception

Njoo inbox,nataka kuweka utaratibu wa kuwakutanisha watu wenye shuhuda za namna yako ili uone kwamba jambo kama lako sio geni na sio la kutafuta,matukio haya ndio mengi zaidi ya yale yanayoaminiwa.Unapoamua kuchunguza tu hiyo ndio tiketi yako ya kujua ukweli mzima ulivyo.
 
He he hee,ndio maana nilisema kwamba,HIV/AIDS ni imani kama zilivyo imani nyingine,hata kama mtu ataona haya ninasema yana ukweli bado atarudi kulekule kwenye imani yake kwamba HIV causes AIDS,HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono na HIV hana dawa ya kumtoa mwilini.

Wewe unazungumzia kufanya ngono mara moja moja tu,Je,unajua kwamba kuna ndoa nyingi sana(hata hapo jirani yenu inaweza kuwepo) mmoja amepimwa HIV+ lakini mwingine ni HIV- na wameishi miaka mingi na wamezaa watoto katika hali hiyohiyo na watoto nao ni HIV-?Sasa kama hawa wako hivi,itakuwa wewe unayefanya mara moja moja tu?Fanya uchunguzi wako utaliona hili.

Siku utakapoanza kudadisi tu,ndipo utakapoanza kujitoa kwenye kifungo hiki taratibu.Asikwambie mtu,kuujua ukweli huu ni raha sana,unakuwa huru na hutakuwa na woga tena pindi wewe au ndugu yako yeyote atakapokuwa anaumwa umwa,utajua nini cha kufanya.Lakini kama hujui,utakuwa mtumwa na wazo lako la kwanza ni kufikiria kwenda kupima HIV,hapo ndipo utakapojipa tiketi ya kula ARVs ambazo ndio kitanzi chako.
Mkuu naomba ufafanue ufanyeje sasa enapo unamgonjwa
 
'There is no way to test for HIV'/Hakuna njia yoyote inayoweza kupima HIV.HIV jina ambalo watu wawili tu wamekaa na kuamua kulipachika kundi fulani la 'genetic materials' jina hilo.Mpaka sasa tunapozungumza,HIV hakuwahi kunyofolewa kutoka kwenye damu ya mtu yeyote yule(HIV has never been isolate/purified,I can rather say that HIV is a belief but not fact).

Kwa kuwa HIV hakuwahi kuonekana hivyo huwezi kupata kipimo chake,na ndio maana HIV tests zote zimeegemea kuangalia antibodies dhidi ya set fulani za protini ambazo zinaaminika zimetoka kwa HIV lakini ukweli ni kwamba kuna sababu/hali lukuki kwenye mwili wa mwanadamu ambazo pia husababisha kuzalishwa kwa protini hizo.Baadhi ya hali hizo ni malaria,TB,Hepatitis,IV drug use,kaswende na magonjwa mengine zaidi ya 50,pia mimba huweza kufanya mwili kuzalisha protini hizo.Ndio maana nasema 'there is no way to test for HIV'.

Kitu kimoja ambacho watu wanaokumbatia HIV/AIDS hypothesis kinawapa jeuri ni kuhusu vipimo vyao feki ku detect antibodies ambazo wao wanasema ni specific kwa HIV.Lakini hawawezi kuelezea kwanini/kwa vipi hizo antibodies haziwezi kumkinga mtu dhidi ya huyo HIV(feki).

The basic fact in science/ukweli wa msingi kabisa usiopingika wa kisayansi:Kama mwili wako umetoa antibodies/kinga dhidi ya kirusi kwa mfano,basi mwili wako utakuwa tayari umeokolewa kutoka kwenye madhara ya kirusi hicho,huu ukweli hata mtoto wa shule ya msingi anaujua.Hakuna kirusi yoyote duniani ambaye amesababisha ugonjwa baada ya antibodies/kinga kujitokeza,virusi husababisha ugonjwa kabla ya kinga na si baada ya kinga,hii ndio sayansi ya kweli.Lakini ukweli huu wa kisayansi umekiukwa kabisa katika suala hili la HIV/AIDS.

Uki test antibody +ve maana yake tayari mwili umeshatoa kinga dhini ya vijidudu/virusi.Hivyo,huwezi kupata ugonjwa baada ya kinga kujitokeza kwa kuwa kinga hu neutralize virusi.Lakini kwenye HIV/AIDS unapo test HIV+ baada ya kushangilia na kupongezwa,unalia na kuitiwa washauri nasaha.Why would everybody get AIDS after antibody immunity?No body ever explained it,I say no body.NIH,CDC,WHO ca never explain it.

Antibodies is the basis of all vaccines,so why you are now in trouble after testing antibody +ve to HIV?

Pia kuhusu CD4 count na viral load.Mambo yote haya ni nonsence kama utaujua ukweli kuhusu HIV.Kwa kuwa HIV(feki) hasababishi AIDS,hivyo dhana nzima ya CD4 count na viral load inakosa maana.HIV(feki) haui CD4 cells kama inavyofahamika na wengi.Ndio maana kuna watu rundo mtaani hawatumii ARVs na wame test HIV+ zaidi ya miaka 10 iliyopita na wana CD4 za kutosha.

Unajua kama fikra za watu ziko kiimani zaidi,hata kama wataona kwa macho yao mambo yanayopingana na fikra zao si rahisi kukubalina nayo,sanasana watasema ni uchawi tu.Hizi fikra walizonazo wengi kuhusu suala la HIV/AIDS ni zao la kitengo cha MIND CONTROL cha inteligensia ya USA.Kitengo hiki pia ndicho kinachofanya wengi wajue kwamba Global warming husababishwa na hewa ya ukaa ilihali sivyo,wamarekani waliwahi kufika mwezini wakati si kweli,democracy is real but is not,bangi haramu wakati sivyo hivyo,cancer haina tiba wakati tiba ipo,na mambo mengine lukuki.

Mleta mada nakushukuru sana kwa kutuchokoza.
Aisee, what a controversial person....we kiboko
 
Mkuu, kama ndo hivyo kweli basi hii 'HIV/AIDS' hypothesis ni dudumizi na kizungumkuti kikubwa sana. Kama hicho ulichokisema ni kweli, najaribu ku-imagine ni watu wangapi leo hii wapo under pressure/stress (au under ARVs) baada ya kupewa majibu ya HIV+ yaliyosababishwa na malaria mwilini?!!!! Hii ni hatari aisee

BUT, why 'tips' kama hizi haziwekwi wazi kwenye jamii ?? WHY?
Nahisi kama mnanifungua ubongo vilee ila chakuchangia sina elimu yangu ndogo.
 
Back
Top Bottom