Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,132
- 2,529
Kuna msemo kwamba "don't judge book by its cover"
Sawa na usimhukumu mtu kwa mwonekano wake;
Kisaikolojia sivyo wanadamu wanacyofanya kazi.
Kama mtu humjui na hujapata nafasi ya kuongea naye (hajajitambusha kwako), utamhukumu kwa namna utakavyokuwa ukimuona.
Na mchakato huo hufanyika ndani sekunde chache tu za mwanzoni.
Hili nimeligundua juzi tu na nikaendelea kuunganishadots!
Siku moja nikiwa nafuatia bidhaa hizi za online, niliwasiliana na muuzaji kwa I'd&profile picture 3 kwa akaunti tofauti tofauti, kiukweli nioitumia maelezo yaoe yale na bidhaa ni ile ile lakini cha ajabu huku alihudumia kwa ukarimu sana, huku akanipuuza, na kule akawa anajibu kwa dharau fulani hivi!!
Nilichogundua alikuwa anachati na profile/I'd yangu na sio mimi.
Hii inafanyika popote, na kila binadamu hufanya hivyo bila kujua. Mwonekano wako wa nje una maana kubwa sana