Valentina Mke wangu! Nimekumiss sana

Valentina my swt, ur hubby karudi huku.
Anaomba uache michepuko, yeye anakupenda sana. Baki njia kuu.
 
Ni nature ya nwanaume kucheat but wanawake huwa wanaplan kucheat pale tu mume wake anapokuwa na vidum Valentina najua unamlipizia mumeo alichokufanyia please rudi nyumbani ndoa haidumu kwa kulipiziana
 
Last edited by a moderator:
Valentina my swt, ur hubby karudi huku.
Anaomba uache michepuko, yeye anakupenda sana. Baki njia kuu.

Wewe Mtoto hujambo? Nimesharudi Niko mujini, unanirudisha tena ktk chupa au?
 
Ni nature ya nwanaume kucheat but wanawake huwa wanaplan kucheat pale tu mume wake anapokuwa na vidum Valentina najua unamlipizia mumeo alichokufanyia please rudi nyumbani ndoa haidumu kwa kulipiziana

nice words from you. thank you.
and FYI i never chitd to my wife 'Valentina' even a single day.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Mtoto hujambo? Nimesharudi Niko mujini, unanirudisha tena ktk chupa au?

Sijambo mzima wa afya, namshukuru Mungu.
Mimi sitaki mshumaa wala jenereta niko powa na mume wangu Sungura1980, nampenda sana. Endelea tu kutafuta wako, si unaona Daudi1 katulia na wifi yangu.
 
OMG: Hw lucky i'm!! I don no hw to explain my hapines hia. Bt i wana u tu no tht i wll always lv u,an i born to make u happy my sweetheart uran
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha sasa wewe unataka mwenzio akose amani shauri yako mi simo wengine hawachelewagi kujitundika ivooo . Valentina unamisiwa huku na uran tafadhari njoo . Mkuu uran uwe na amani tu na ujiamini na uamini kuwa hapatakua na michepuko.

Nimeshaacha mchepuko na kubaki njia kuu mwenzangu!!
 
Last edited by a moderator:
Sijambo mzima wa afya, namshukuru Mungu.
Mimi sitaki mshumaa wala jenereta niko powa na mume wangu Sungura1980, nampenda sana. Endelea tu kutafuta wako, si unaona Daudi1 katulia na wifi yangu.

Naelewa lakini remember back the time! Huwezi nitupa vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…