Valentina Mke wangu! Nimekumiss sana

Valentina Mke wangu! Nimekumiss sana

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
10,392
Reaction score
15,948
my wife 'Valentina'

mh1e9c.jpg

I miss you when something really good happens, because you're the one I want to share it with.
I miss you when something is troubling me, because you're the only one who understands me so well.
I miss you when I laugh and cry, because I know that you're the one who makes my laughter grow and my tears disappear.
I miss you all the time, but I miss you the most when I lie awake at night and think of all the wonderful times we spent with each other for those were some of the best memorable times of my life.

You have to know that Uran loves you so much.
Usinichanganye na wanaume wengine, kama sipo nakuomba univumilie,
siku zote.
Naamini wale kina Rich Pol na Daudi1 waliokuwa wanakusumbua ushaachana nao.
Warembo wa Jf, Lady doctor shansarie Bantu lady miss neddy miss chagga charty Heaven on Earth Munkari farkhina Ablessed Karucee Arabela DEMBA na wengine.
Nisaidieni kumwambia 'Valentina' kuwa nampenda sana.
Aache michepuko.
:happy::happy: :mwaaah::mwaaah::mwaaah:
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hongera sana! Mimi siyo uncle Kidevu, mimi ni shemeji yake mwaminifu sana, hata wote wanaommezea mate walikuwa wananiogopa, siishi kupita kwako kama haupo kucheck usalama, usiwe na wasiwasi Valentina njoo huku uran ameku miss sana.
 
Hii kitu mkuu tutauwana uran aliniendea kwa mgaga ila sasa nipo fiti nimerudi tupambane kwa uzuri show anasimamia Rich Pol
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu mkuu tutauwana uran aliniendea kwa mgaga ila sasa nipo fiti nimerudi tupambane kwa uzuri show anasimamia Rich Pol

Pole sana mkuu uran alikushusha mshipa kilo ngapi vile? Siku nyingine uwe unaweka mshipaproof inasaidia kwa kazi za nje hasa zenye hati miliki.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu uran alikushusha mshipa kilo ngapi vile? Siku nyingine uwe unaweka mshipaproof inasaidia kwa kazi za nje hasa zenye hati miliki.

huyu Kibo10 haelewi hata anachomaanisha.
sijaenda kwa mganga wala nini nimezidisha mapenzi mara dufu
 
Last edited by a moderator:
huyu Kibo10 haelewi hata anachomaanisha.
sijaenda kwa mganga wala nini nimezidisha mapenzi mara dufu

Hahaha napiga za king mswati uran nataka nikupige zege mdomoni then namaliza kama ronaldo mechi ya mwisho teh teh mshenga wangu nisha mjuwa
 
Last edited by a moderator:
Hahaha napiga za king mswati uran nataka nikupige zege mdomoni then namaliza kama ronaldo mechi ya mwisho teh teh mshenga wangu nisha mjuwa

kibo hunijui vizuri my wife will tell you.
 
uran, hivi 'Valentina' kesha acha michepuko? Maana si kosa lake karithi kutoka kwa baba ake Baba V
Hahahahaha sasa wewe unataka mwenzio akose amani shauri yako mi simo wengine hawachelewagi kujitundika ivooo . Valentina unamisiwa huku na uran tafadhari njoo . Mkuu uran uwe na amani tu na ujiamini na uamini kuwa hapatakua na michepuko.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha sasa wewe unataka mwenzio akose amani shauri yako mi simo wengine hawachelewagi kujitundika ivooo . Valentina unamisiwa huku na uran tafadhari njoo . Mkuu uran uwe na amani tu na ujiamini na uamini kuwa hapatakua na michepuko.

hahahaha huyu 'Valentina' ni mke mwenzangu ujue alikuwa anaendekeza michepuko sa baada ya kuolewa na uran sijui atakuwa kaacha?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom