Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua.....
Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako.
Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic dinner kwenye kahotel kalipo Beach hata South Beach ya Kigamboni halafu tulale huko huko. Sema ndo hivyo mipango sio matumizi.
NB. Wale wa kuja PM siwataki jamani. Nimeridhika na style ya kizee zee ya uncle.