Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua.....
Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako.
Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic dinner kwenye kahotel kalipo Beach hata South Beach ya kigamboni halafu tulale huko huko.
Sema ndo hivyo mipango sio matumizi.
NB. Wale wa kuja PM siwatak jaman. Nimeridhika na style ya kizee zee ya uncle.
Unaweza kuja pm kuna zawadi yakoKama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua.....
Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako.
Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic dinner kwenye kahotel kalipo Beach hata South Beach ya kigamboni halafu tulale huko huko.
Sema ndo hivyo mipango sio matumizi.
NB. Wale wa kuja PM siwatak jaman. Nimeridhika na style ya kizee zee ya uncle.
Km unatoa mzigo fresh ntakupeleka south beach .....Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua.....
Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako.
Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic dinner kwenye kahotel kalipo Beach hata South Beach ya kigamboni halafu tulale huko huko.
Sema ndo hivyo mipango sio matumizi.
NB. Wale wa kuja PM siwatak jaman. Nimeridhika na style ya kizee zee ya uncle.
Kama umeridhika huku umefuata nini?Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua.....
Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako.
Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic dinner kwenye kahotel kalipo Beach hata South Beach ya kigamboni halafu tulale huko huko.
Sema ndo hivyo mipango sio matumizi.
NB. Wale wa kuja PM siwatak jaman. Nimeridhika na style ya kizee zee ya uncle.
Jamani my fav yupo na ban yake nzuri tu 😂😂Wee Extrovert ukuje uku[emoji4]
Dah! Uyu jamaa ban za kila mara huwa hazimkauki,Jamani my fav yupo na ban yake nzuri tu [emoji23][emoji23]
Ua linamuhimu gani katika maisha yako?Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua.....
Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako.
Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic dinner kwenye kahotel kalipo Beach hata South Beach ya kigamboni halafu tulale huko huko.
Sema ndo hivyo mipango sio matumizi.
NB. Wale wa kuja PM siwatak jaman. Nimeridhika na style ya kizee zee ya uncle.
Mpaka namuonea huruma jaman.. sa sjui ntaangalia id ya nani😪Dah! Uyu jamaa ban za kila mara huwa hazimkauki,
Sijui mara Hii anaugomvi gan tena na mods[emoji4]