Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

Dada angu Nakadori ebu nna kijiswali kidg (but don't take it too personal)[emoji4]

Uyo anko wako Ni mchawi au sio mchawi?[emoji4]

Ukinijibu ndio au hapana, afu ntakwambia kwann nmeuliza[emoji4]
Kwamba atakuwa amerogwa teh teh teh(s kwa ubaya)
 
Unataka ua tu au na mengine navyojua mm maua peke yake hayatoshi siku hiyo angekuwepo Valentine Leo angetuambia maana jamaa alikijitoa sana zaidi ya upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…