Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

Dada angu Nakadori ebu nna kijiswali kidg (but don't take it too personal)[emoji4]

Uyo anko wako Ni mchawi au sio mchawi?[emoji4]

Ukinijibu ndio au hapana, afu ntakwambia kwann nmeuliza[emoji4]
Pond himself again
Mkuu unavizia loose ball
Kiufupi anko ni mkuu wa kilinge shauri yako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
mapenzi (ndoa) huwa sio kitu cha siriaz na ukiweka usiriaz unaumia, ngoja ntafute hela nije nichague wakunichana tu
maana wote wachunaji, na wapendaji huwa wanaishia kuchezea za uso tu
 
mapenzi (ndoa) huwa sio kitu cha siriaz na ukiweka usiriaz unaumia, ngoja ntafute hela nije nichague wakunichana tu
maana wote wachunaji, na wapendaji huwa wanaishia kuchezea za uso tu
Huo ndo ukweliii
Ukiujua hupati tabu
 
Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua.....

Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako.

Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic dinner kwenye kahotel kalipo Beach hata South Beach ya Kigamboni halafu tulale huko huko. Sema ndo hivyo mipango sio matumizi.

NB. Wale wa kuja PM siwataki jamani. Nimeridhika na style ya kizee zee ya uncle.

Sasa kelele za nini ikiwa umeridhika na huyo babu yako!?
 
Back
Top Bottom