Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Mpe, mpe... Nakadori kweli unambinulia kaka wa mamako? Hata gizani, mmmh!
Anataka mtoto me bado naona gumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka mtoto me bado naona gumu
Mna lifestyle POA sana, sio zile za kugandana kama Luba.Kikubwa ajue nimeshindaje na nineamkaje...hata akipotea mwaka. Muache akatafute hela
ivi mapenzi yalikufanyeje kk?Dada yangu bora ubaki hivyo hivyo
Mapenzi ni mateso sana
Mapenzi ni kuteseka
Mapenzi ni mpasuko wa moyo
Mapenzi ni giza zito
Mapenzi ni kadhia
Mapenzi ni kutoa na kujumlisha kisha ugawanye kwa sifuri
Mpopo hashindwi kunisokomeza ngada bureeeKuna Boss wangu hapa Mpopo, anataka Valentine wa mchongo, kama uko free tufanye reservation Level 8 au Akemi [emoji41] kama kwenu mbali Pa kulala sio kesi atakulaza Four Point by Sheraton, awi tugeza???
Watu hawana huruma na watoto wa wenzao hilo ndo nililogindua. Hata yeye Ana binti atachakatwa tummmh madam, mama alikusomesha mpaka Masters halafu Mungu akasema na roho yake.
Mama akamwachia kaka ake (mjomba) akulee ila mbona Tena mjomba anakula badala ya KULEA?
#YNWA
Hehehe mapenzi ya wizi huwa kanuni ya kwanza hakuna kugandana... ukiikiuka hyo basii...
Ukiyaendekezaa yatakupa mateso...Dada yangu bora ubaki hivyo hivyo
Mapenzi ni mateso sana
Mapenzi ni kuteseka
Mapenzi ni mpasuko wa moyo
Mapenzi ni giza zito
Mapenzi ni kadhia
Mapenzi ni kutoa na kujumlisha kisha ugawanye kwa sifuri
Nilitaka kuuliza hili japo sio kwa mfumo huu ila nikaogopa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashangaa wakati sijawahi kuona akitukana mtu...sijui sheria gani ya jf huwa anaivunjaDah! Uyu jamaa ban za kila mara huwa hazimkauki,
Sijui mara Hii anaugomvi gan tena na mods[emoji4]
Dah! Pole Sana,Hehehe mapenzi ya wizi huwa kanuni ya kwanza hakuna kugandana... ukiikiuka hyo basii...
Ila nahisi kama namchoka hivii...nalose interest
Nadhani stress ndo zilinifanya niwe nae..(last year nilipitia stress kubwa sana ya kifamilia so kila hug ilimata sana na nilihitaji faraja zaidi...)
Ngoja arudi atatueleza alikwama wapi, Sema na huwa Kuna mda anakua na mchecheto sana[emoji4]Nashangaa wakati sijawahi kuona akitukana mtu...sijui sheria gani ya jf huwa anaivunja
Huwezi Amin Hajajibu mpk sahv[emoji4]Nyieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukipitia nyuzi zangu utaweza baini nilichopitia ...ila hakihusiani na mapenziiiDah! Pole Sana,
stress gan izo dada angu, [emoji26]
Au hazifai kuelezea public tuipotezee[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee huwa wapo vizuri sana huwa wanawazidi vijana mbali .Kuna waziri mmoja mstaafu Ana mambo ya kutosha hadi nikashangaa....yan na ujana wangu me ndo mshamba kwake
H
ivi mapenzi yalikufanyeje kk?
Nimepitia sredi zako nione kama ushawahi kuyalilia nikakutana na story za subwoofer tu na amplifier.
Open up hun, what went wrong.
Ukiyaendekezaa yatakupa mateso...
Siku hizi hatupendi ila tunafanya mapenzi tuu