Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

20220203_163630.jpg
 
Jaman kupitia huu uzi mkumbukege kuwapelekea maua wapenzi wenu sio mnawapa hela tu kila kitu kina maana yake.

NB; SIJASEMA MSIWAPE HELA
 
Umri pia unatufanya tuwe wazuri sana kujua kuwapenda waliokaribu yetu na sio wapenzi wetu tu bali ni jamii inayotuzunguka mfano yatima, wagonjwa nk na inatakiwa iwe ni jambo la kila siku na siyo swala la msimu bali liwe la milele.. Wazee wenzangu tumeelewana
Tumeelwana mkuuu
 
Back
Top Bottom