Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

Hivi haya mambo ya sijui valentine bado kuna watu wanayafuatilia tu?
 
Ila kunawatu dunia hii wanabahati Sana,MTU ameoa ,bado nimjomba,nabado Hana Mda au time yakuspend Sana nahuyo ampendae Ila bado anapendwa hivyohivyo nabado anapewa heshima zote kama mmewandoa,some people actually were born luck,Tu,
 
Umeona eeehh
Kweli Ana bahati sana
 
Umri pia unatufanya tuwe wazuri sana kujua kuwapenda waliokaribu yetu na sio wapenzi wetu tu bali ni jamii inayotuzunguka mfano yatima, wagonjwa nk na inatakiwa iwe ni jambo la kila siku na siyo swala la msimu bali liwe la milele.. Wazee wenzangu tumeelewana
 
Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua.....

Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako.

Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic dinner kwenye kahotel kalipo Beach hata South Beach ya Kigamboni halafu tulale huko huko. Sema ndo hivyo mipango sio matumizi.

NB. Wale wa kuja PM siwataki jamani. Nimeridhika na style ya kizee zee ya uncle.
Mjomba wako mlishaachana Nakadori ?
 
Back
Top Bottom