Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

Here you go...
[emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]View attachment 2104497
Here u come....
Thanks much... [emoji173][emoji173]
Life without my sweet mommy will never be the same...
However with friends like you I will persist
 
Heheheh umeandika lugha ngumu bwana... kutambaa na chaki ndo nini?
Kutambaa na chaki ni kwenda sawa kama ambavyo gari linatembea katika site yake barabarani bila kukanyaga chaki za kati au pembeni😅 linanyooka ndani ya mistari!
 
Kutambaa na chaki ni kwenda sawa kama ambavyo gari linatembea katika site yake barabarani bila kukanyaga chaki za kati au pembeni[emoji28] linanyooka ndani ya mistari!
[emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787]
Asee kweli kiswahili ni kipana
 
Binamu si utanifundisha biashara yenye mzunguko eehh
Niko serious nina kamtaji ntapata kadogoooo hata nikipata milion 2 faida kwa mwezi sio mbaya.
Usiwaze binamu[emoji4]
 
Here u come....
Thanks much... [emoji173][emoji173]
Life without my sweet mommy will never be the same...
However with friends like you I will persist
Naona unanipamba mkuu 👀👀
 
Naona unanipamba mkuu [emoji102][emoji102]
Jmn umenipatia maua ba hug why nisishukuru?
Hyo ndo namna nilivyo...sijaku pamper hata kidogo ila nimekushukuru na wana JF wengine
 
Back
Top Bottom