USHAURI KWA WANA CC WOOTE
Hakuna Valentine Bila Pesa.
Same to you, have a wonderful V. Day with your lovely family
we mkareeee!paper loving sio! bora loya wangu kajiengua mapemaaaa!
Una maana gani we mwanamama???
mapenzi ya hela!loving paper kwani we hujui!madame anapenda hela wewe, sio bure waume zake wanamkacha mmoja baada ya mwingine!
USHAURI KWA WANA CC WOOTE
Hakuna Valentine Bila Pesa.
Wapendwa wana chitchat.... tunapendwa kuwatumia salamu za sikukuu ya mt. Velentino kabla ya siku yenyewe na keki hii tunapenda iwe kwa ajili ya sisi sote hapa CC, ni vigumu sana kuwataja kila mmoja kwa jina kwani nyote kwa namna moja ama nyingine mmefanya maisha ya familia ya watu8 kuwa yenye furaha, amani na upendo, nasi pamoja na watoto wetu wapendwa charminglady, sweetlady, WiseLady na Davie S.M tunapenda kuungana nanyi ni kula keki hii pamoja tukiamini kwamba itazidi kutuweka pamoja na kuendelea kufurahi...Najua siku yenyewe kila mmoja atakuwa na mpenzi wake ndio maana nimeileta hii tuile mapema tukielekea siku yenyewe... Tazama ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakikaa pamoja kwa upendo...
Kiongozi !
watu8 , tatizo umeghafilika kua ni kama wote humu tuna wapenzi !
Ungeyalenga vema incase members kama sisi instead of Keki utuletee "Sabuni", au kikopo cha "bright lite"
Asante sana mpendwa...karibuni kwenye mtoko wa familia yetu, maana siku hiyo tutafunga Gazebo maeneo ya fukwe tukijumuika na tuwapendao