asanteni jaman..mapendo kwenu yawe ya daima
thanx for the valentine gritings , may ur family blessed forever
Kwa kweli namshukuru Mungu wife hajambo kabisa anajiandaa kwa valoentine tu siunajua ndio tunajiandaa zetu baadae kuzama jijini Durban kwa maraha mpwa
Kiongozi !
watu8 , tatizo umeghafilika kua ni kama wote humu tuna wapenzi !
Ungeyalenga vema incase members kama sisi instead of Keki utuletee "Sabuni", au kikopo cha "bright lite"
USHAURI KWA WANA CC WOOTE
Hakuna Valentine Bila Pesa.
Amen...kaka mkubwa, shukran sana kwa maneno ya baraka yenye hekima ndani yake.
Hahaha...yeaha nakumbuka ulinitonya kuhusu huo mtoko wa kwenda kwa Madiba
Hehehehee
Nyie bado hajaenda visiwani?
Kiongozi !
watu8 , tatizo umeghafilika kua ni kama wote humu tuna wapenzi !
Ungeyalenga vema incase members kama sisi instead of Keki utuletee "Sabuni", au kikopo cha "bright lite"