Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 497
- Thread starter
-
- #341
Tumia akili zako vizuri na wewe.......hivi mwanaume gani mwenye akili zake timamu aende kutumia milioni 11 kwa masaa? Huo ni uendawazimu uliokithiri!!
Kibaya chajitembeza..! Jichunguze tabia zako mbaya, utaishia kuwa mchepuko kwa mchumba wa mtu eti special offer[emoji51][emoji51][emoji51]!Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.
NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi kwako plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
Wengi ni wageni wanaotumia pesa za kigeni ambapo mtu akikwambia $10,000 ni pesa ya kawaida Wabongo watakaokuwepo ni wale wenye vipato vitokanavyo na pesa za kigeniUnataka uniambie siku hiyo kutakuwa hamna watu huko?
If not rubbish then you have poverty in mind.Not rubbish it's bcoz of your poverty.
Hahaaaa wanasoma uzi Huku wanamalizia na msonyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wa jf kama nawaona
Kila lakheri mkuu maana ss wengine tuna hela za kununua kiberiti na sigara hayo hatuweziKama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.
NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi kwako plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
Nenda kapewe bro maana yule wa 11.2M huenda ni mpaka uani [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mjini ni kuwa tu mwangalifu carba...
ID fake zinatupa uhuru na kujiachia kwa kupindukia.Nenda kapewe bro maana yule wa 11.2M huenda ni mpaka uani [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaa wanasoma uzi Huku wanamalizia na msonyooo
Mkuu umenifirahisha sana na kauli yako hiiID fake zinatupa uhuru na kujiachia kwa kupindukia.
Mengi yanayosemwa humu hayana uhalisia, asimia kubwa ni fake.
Hata wewe sasa hivi huwezi kunijua mimi nipo hali gani.
Kikubwa kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake bila kukejeli na kutingisha hali ya mwenzio
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hahaaaa wanasoma uzi Huku wanamalizia na msonyooo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mkuu umenifirahisha sana na kauli yako hiiView attachment 693658
Hela nategemea tatu mzuka na biko sidhani kama tutaelewana nae huyunakuona nakuona una hela wew
hahaa kwahela yote hiyo mkuu hata kavu kavu unadhulumiwa tu ..hapo sinina nunua used car Toyota mark x aiseeee ..hahaaaJe tutatumia kinga au kavu kavu?
hahaaa for 1 night stand hapana aiseeeShoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.
Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
aiseee hahaaaNot rubbish it's bcoz of your poverty.
Hahaaaa kumbe ulikuwa waichokoza mada ..lengo kuu lilikuwa nihili aiseeee hahaaaaaJamani mmesanda game ?
Na mkishindwa hilo mkome kunifata pm eti oog dada ninavutiwa na ww coz y're very charming .
Kumbe midume suruali au niwataje mnaonisumbua pm?
Nishatupia bapa zangu hapa hata msinichanganye.
mkuu humu kuna kina mwigulu ..ridh1 nahuwa wanapitia kuzichabo hzi comment so wasemaje kuwa watu wenye mi Pesa kiasi hcho hawapo humuHahaaa. Sababu kiuhalisia maisha ya Kitanzania kwa sasa yanajulikana na hao wenye mipesa kiasi hicho sidhani kama ni wapo humu. [emoji85]
hahaaaa mshikilie sana mbitiDah iv kumbe kwa mbiti nilibahatisha maana hana haya mauzauza