Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.

NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi kwako plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
Kibaya chajitembeza..! Jichunguze tabia zako mbaya, utaishia kuwa mchepuko kwa mchumba wa mtu eti special offer[emoji51][emoji51][emoji51]!

Una miliki nini zaidi ya used expansion joint (papuchi) mpk uweke masharti yote??
 
Unataka uniambie siku hiyo kutakuwa hamna watu huko?
Wengi ni wageni wanaotumia pesa za kigeni ambapo mtu akikwambia $10,000 ni pesa ya kawaida Wabongo watakaokuwepo ni wale wenye vipato vitokanavyo na pesa za kigeni
 
Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.

NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi kwako plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
Kila lakheri mkuu maana ss wengine tuna hela za kununua kiberiti na sigara hayo hatuwezi
 
Nenda kapewe bro maana yule wa 11.2M huenda ni mpaka uani [emoji12] [emoji12] [emoji12]
ID fake zinatupa uhuru na kujiachia kwa kupindukia.

Mengi yanayosemwa humu hayana uhalisia, asimia kubwa ni fake.

Hata wewe sasa hivi huwezi kunijua mimi nipo hali gani.

Kikubwa kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake bila kukejeli na kutingisha hali ya mwenzio
 
Mkuu umenifirahisha sana na kauli yako hii
IMG_20180210_214527.jpg
 
Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.

Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
hahaaa for 1 night stand hapana aiseee
hapo napata ile midoli miwili ..nakuhonga kunakuwa ndio baba Jeni byeee byeeee
 
Jamani mmesanda game ?
Na mkishindwa hilo mkome kunifata pm eti oog dada ninavutiwa na ww coz y're very charming .
Kumbe midume suruali au niwataje mnaonisumbua pm?
Nishatupia bapa zangu hapa hata msinichanganye.
Hahaaaa kumbe ulikuwa waichokoza mada ..lengo kuu lilikuwa nihili aiseeee hahaaaaa

wanaokfuataga pm kama vile nawaona kaupepo kalichoandamana na joto kanakuja kwa mbaali..hahaa
ila mkuu ml.11 hpana aisee baoneeee huruma mtu anaweza kulipia hizo cost then baada ya kukucha akajikota anadondoka nakutokwa mapovu mdomoni daahh
 
Hahaaa. Sababu kiuhalisia maisha ya Kitanzania kwa sasa yanajulikana na hao wenye mipesa kiasi hicho sidhani kama ni wapo humu. [emoji85]
mkuu humu kuna kina mwigulu ..ridh1 nahuwa wanapitia kuzichabo hzi comment so wasemaje kuwa watu wenye mi Pesa kiasi hcho hawapo humu
 
Duh!
1.35 years hapa sipo.
2. 11Mil.???? For one day!!!!

Napita bila sauti Ya viatu kusikika.
 
Back
Top Bottom