Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Jamani mmesanda game ?
Na mkishindwa hilo mkome kunifata pm eti oog dada ninavutiwa na ww coz y're very charming .
Kumbe midume suruali au niwataje mnaonisumbua pm?
Nishatupia bapa zangu hapa hata msinichanganye.

Kwa haraka haraka nimenote kwamba huna anayekufata PM, au hujawakubali.

Mimi nasubiri uanze wewe kuja PM.
 
Hata mimi nashangaa kabisa Dada yangu, Shunie ananijua mimi mdau wake mapupu hapa mitaa ya Tandamti(K/koo) lakini anaisukumizia mzigo huu unaohitaji greda ili niweze kuunyanyua.
Hahaaaa. Umeona mdogo wangu. Huu mzigo una wenyewe na haunyanyuliki kirahisi.

Haya bana ila sihami Jf sababu saa nyingine najikutaga nacheka pasi kutaka.
 
Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.

Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Emmyta hiyo # 3 inaitwav 'friends with benefits.' au nipe nikupe ila kiukweli dau lake refu especially for a stranger.
 
Ukisema at least... 50% means anaweza akalipa hata 98% ya hizo gharama so kama hivyo ndivyo ulivyo maanisha basi yeye ndio atakaye pashwa kuweka vigezo na masharti. Maana anayemlipa mpiga zumari,ndiye anayechagua nyimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…