Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Jamani mmesanda game ?
Na mkishindwa hilo mkome kunifata pm eti oog dada ninavutiwa na ww coz y're very charming .
Kumbe midume suruali au niwataje mnaonisumbua pm?
Nishatupia bapa zangu hapa hata msinichanganye.

Kwa haraka haraka nimenote kwamba huna anayekufata PM, au hujawakubali.

Mimi nasubiri uanze wewe kuja PM.
 
Hata mimi nashangaa kabisa Dada yangu, Shunie ananijua mimi mdau wake mapupu hapa mitaa ya Tandamti(K/koo) lakini anaisukumizia mzigo huu unaohitaji greda ili niweze kuunyanyua.
Hahaaaa. Umeona mdogo wangu. Huu mzigo una wenyewe na haunyanyuliki kirahisi.

Haya bana ila sihami Jf sababu saa nyingine najikutaga nacheka pasi kutaka.
 
Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.

Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Emmyta hiyo # 3 inaitwav 'friends with benefits.' au nipe nikupe ila kiukweli dau lake refu especially for a stranger.
 
Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.

NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
Ukisema at least... 50% means anaweza akalipa hata 98% ya hizo gharama so kama hivyo ndivyo ulivyo maanisha basi yeye ndio atakaye pashwa kuweka vigezo na masharti. Maana anayemlipa mpiga zumari,ndiye anayechagua nyimbo.
 
Back
Top Bottom