Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naimudu ya Mapupu tu.Vipiiii ndio utafute hiyo hela uende
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We Dadaaa. Ujue nimecheka sana. Lol.
Dooooohhhhh.Mimi naimudu ya Mapupu tu.
Sitaki kujipa stress bure
Jamani mmesanda game ?
Na mkishindwa hilo mkome kunifata pm eti oog dada ninavutiwa na ww coz y're very charming .
Kumbe midume suruali au niwataje mnaonisumbua pm?
Nishatupia bapa zangu hapa hata msinichanganye.
Hata mimi nashangaa kabisa Dada yangu, Shunie ananijua mimi mdau wake wa mapupu hapa mitaa ya Tandamti(K/koo) lakini ananisukumizia mzigo huu unaohitaji greda ili niweze kuunyanyua.Tucheke tu mdogo wangu sababu Da Shunie hajakutendea haki kabisaaaa.
Hahaaaa. Umeona mdogo wangu. Huu mzigo una wenyewe na haunyanyuliki kirahisi.Hata mimi nashangaa kabisa Dada yangu, Shunie ananijua mimi mdau wake mapupu hapa mitaa ya Tandamti(K/koo) lakini anaisukumizia mzigo huu unaohitaji greda ili niweze kuunyanyua.
Ahahah atoe hela tu sio ananitolea mimachoWe Dadaaa. Ujue nimecheka sana. Lol.
Emmyta hiyo # 3 inaitwav 'friends with benefits.' au nipe nikupe ila kiukweli dau lake refu especially for a stranger.Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.
Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Tumia tu kiswahili utaeleweka...Not rubbish it's bcoz of your poverty.
Hivi hiyo % si ni kiasi cha mshahara wa watu kadhaa kabisa tena kwenye private sector.Hahaaaa. Umeona mdogo wangu. Huu mzigo una wenyewe na haunyanyuliki kirahisi.
Haya bana ila sihami Jf sababu saa nyingine najikutaga nacheka pasi kutaka.
Hahaaaa. Itakuwa dada.Ahahah huu uzi sijui hawauoni
Tumia tu kiswahili utaeleweka...
Ukisema at least... 50% means anaweza akalipa hata 98% ya hizo gharama so kama hivyo ndivyo ulivyo maanisha basi yeye ndio atakaye pashwa kuweka vigezo na masharti. Maana anayemlipa mpiga zumari,ndiye anayechagua nyimbo.Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.
NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Itakuwa dada.
Labda hawajatoka kazini bado. [emoji85]