[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mida si ndio hiiHahaaaa. Itakuwa dada.
Labda hawajatoka kazini bado. [emoji85]
Hahaaaa. Ndio hivyo anataka wanaume wa jf mjitutumue kidogo.Emmyta hiyo # 3 inaitwav 'friends with benefits.' au nipe nikupe ila kiukweli dau lake refu especially for a stranger.
Kabisaaa mdogo wangu.Hivi hiyo % si ni kiasi cha mshahara wa watu kadhaa kabisa tena kwenye private sector.
Hahaaa. Wameshaanza kuja kuja naona wengine wanaomba dau lipungue. Teh teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mida si ndio hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa. Wameshaanza kuja kuja naona wengine wanaomba dau lipungue. Teh teh teh
Nna ivo vigezo vyote naomba nikukope io hela Ya kwenda huko, tukirudi ntakupa hela yako nikishinda mill.100 za BikoKama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.
NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi kwako plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
Duuh! Rafiki sio kwa kunichekesha huko. Lol.Mil 11 nakunya.. Labda kama utakuja na Priyanka Chopra + Sasha Obama
Hahaahaahaaaaaaaaaaaaaa. LOLNgoja kwanza nisome salio nitarudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa. Wameshaanza kuja kuja naona wengine wanaomba dau lipungue. Teh teh teh
He heNgoja kwanza nisome salio nitarudi
Haha maana nisije nikatoa offer kumbe mzigo haufikiHe he
Hahaha, swahiba najitathimini kwanzaHahaahaahaaaaaaaaaaaaaa. LOL
Sawa Swahiba. Kama zipo nafasi ndio hiii na huwa nafasi kama hizi hazijirudiagi. Teh.Hahaha, swahiba najitathimini kwanza
Mkuu milioni kumi na moja kisa valentine halafu kwa sisi wakristo ni J'5 ya majivu.Duuh! Rafiki sio kwa kunichekesha huko. Lol.