Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Kazi kweli kweli atleast wangepunguza two digit ningejishauri but hata kama nina trillion ngap I cant spend 22m in a single night.
 
KAMA UNAYO BIKRA SAWA SIO NAGHARAMIA HALAFU NAKUTA BWAWA
 
Kama title inavyojieleza ni kwamba Mimi nimeona Valentine hii nitoe offer kwa JF member wa kiume kutoka out nami but with the following qualifications;
1, Awe above 35 years of age
2, Awe tayari twende pamoja Hyatt Regence on Valentine day
3, Awe tayari kulipa atleast 50% of entrace yani 11.2 mill nyingine nitalipa mimi.

NB
Kila mtu ana uhuru wa kuongelea kitu au mtu amtakaye so kama unahisi huwezi au sio sahihi kwako plz ukae kimya wenye vigezo tukutane pm tujue tunakamilisha lini mchakato huo na nasikia tiketi zimebaki chache so mchangamke bhana .
Nna ivo vigezo vyote naomba nikukope io hela Ya kwenda huko, tukirudi ntakupa hela yako nikishinda mill.100 za Biko
 
Back
Top Bottom