Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.

Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
Siyo siri...she is a cunning girl.
 
Shoga huku ni kutaka kupandisha wanaume wa watu presha sio bure.

Sababu umeanza vyema ila hapo kwenye no 3 lazima walio wengi wanyong'onyee. 11.2 isiyo na kazi inatoka wapi saa hizi Shoga angu. Tena kwa matumizi ya siku moja. Mmh.
1.2 milioni ..for one night stand ...
besti upo ...unaona mnyyyama anaongoza ligi
 
Hahaaa. Wala hukosei Mkuu. Pesa huwa naona inafaa ikizalisha na sio iteketee na kuleta hasara mwisho wa siku yanabaki majuto.

Na ikitokea basi iwe pesa ndogo na sio mahela yote hayo ambayo unaweza yafanyia cha maana sana.

Wala sio Ushamba Mkuu.
Nashukuru kwa kunielewa. Pia nashukuru kwa ufafanuzi huu. Mimi kiukweli sinaga makuu ila sipendi kuwa chini. Nitajikweza ikiwa uwezo unaruhusu kama sina siwezi kufanya chochote
 
Khaaaa..
Hapo mwisho nimerudia mara mbili... Uko serious au??? Miaka ulotaja ni watu wenye familia tayari!!! Hebu hurumia watoto wa mwanamke mwenzio jamani!!!! Juzi tuu ndo tumeimaliza January kwa mbinde!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…