Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
In deedRubbish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In deedRubbish
Hapo umenena mchuchu nakuja huko unipokeeNaanzaje kukunyima jamani... Hebu ukuje huku Namtumbo kwanza
TehIn deed
Una hizo m..lakiniiiHapo umenena mchuchu nakuja huko unipokee
Hahaha kwa wewe zipo wala usijaliUna hizo m..lakiniii
EwaaaaaaHahaha kwa wewe zipo wala usijali
Hahaaaa.Siyo siri...she is a cunning girl.
ShukraniEwaaaaaa
Sasa hapo umeongea vyema
Sawa Bro usijali.Usimsifie katika hili.
Sio 1.2 ni 11.2 best. Nipo sana tu.1.2 milioni ..for one night stand ...
besti upo ...unaona mnyyyama anaongoza ligi
... na hao wenye mipesa kiasi hicho sidhani kama ni wapo humu. [emoji85]
Kweli kabisa muhimu ni kujikuna mkono ufikapo tu.Nashukuru kwa kunielewa. Pia nashukuru kwa ufafanuzi huu. Mimi kiukweli sinaga makuu ila sipendi kuwa chini. Nitajikweza ikiwa uwezo unaruhusu kama sina siwezi kufanya chochote
Huo ni wa kawaida jirani, kama Shunie alivyokuanzishiaga wewe.Mmmh
Sio kwa uzi ule jirani... Kwa nini lakini
Karibu tenaShukrani
Hahaaa. Kukejeli kiaje tena shoga?Kumbe mnawasomaga tu Hahaha watu Mnamjua kukejeli jamani
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Karibu tena
Sasa shunie ni mdogo wangu ujueHuo ni wa kawaida jirani, kama Shunie alivyokuanzishiaga wewe.