Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Valentine special offer from Miss curious to real gentlemen.

Si umesema wanaume wenzio waogope mwanamke wa dizaini hiyo ni masikini me nimekubishia ni tajiri mpaka aongee hivyo
Haezi kuwa tajiri believe me, mwanzo wa kudate kwangu enzi nasoma sekondari moja ya boarding kule moshi nilidate mambinti kadhaa, sikujua family status zao....walikuwa wanahitaji starehe za kijinga kinomaa....halafu wamejaa stress lloooh baada ya kudate totoo la kishua nika experience ladha halisi ya penzi!
 
Ila jamani hapana,unatoa mihela yote hiyo kwa usiku mmoja?WTF[emoji23][emoji23]
Acha tu nife na umasikini wangu
Hiyo hela ni mtaji kabisa
Umeona eeeehhh!!

Pia sio vibaya kwa wenye kumudu wafanye hayo mambo. Lakini wengine na sie bora yapite tu kikubwa tunaendelea kupumua...
 
Back
Top Bottom