ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
mim mwenyewe namtafuta sijui kapotelea wap[emoji41] [emoji125]Afu siku nyingi sijamuonaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mim mwenyewe namtafuta sijui kapotelea wap[emoji41] [emoji125]Afu siku nyingi sijamuonaaa
ngoj niwaite mkujeee hukuWanaume wa jeiefu leo wanajifanya hawaoni huu uzi[emoji23][emoji23]
Huu uzi hawawezi kuja kabisaangoj niwaite mkujeee huku
ngoj nikawatoe huko walikoHuu uzi hawawezi kuja kabisaa
Kumbe hujaona comment zangu eeehh!!Huu uzi hawawezi kuja kabisaa
poa tuu!!! hamna namna maana sie vyuma vyetu vimekaza hiyo mil 11 huwa tunaisikia kwenye BIKO na TATU MZUKA tu!!Under 18 wanawafaa
Shikamoo Dada anguKhaaa
[emoji3][emoji3][emoji3]Weee Acha awakomeshe Kila saa salam pm Nani anataka
AhahahhaYaan wamepatikana kazi kujigamba tu kumbe hollaaa
We unakomaa[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe hujaona comment zangu eeehh!!
MhWANAUME NAWAASA TENA OGOPENI MNO WANAWAKE MASKINI, MWANAMKE WA DIZAINI HII NI MASKINI, WAOGOPE KAMA UKOMA!
Hata ningekuwa nayo nisingefanya huu upuuziWe unakomaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ushapata hiyo 11.2m ya kwenda na mtoa mada?
Huo ni ubahiri ujue?Hata ningekuwa nayo nisingefanya huu upuuzi
sijakuelewa dada shunieMh
Acha kuongopa wanaume wenzio sio mwnamke wa hivi ndio tajiri
Ubahili kwenye mambo ya hovyo ni faidaHuo ni ubahiri ujue?
Si umesema wanaume wenzio waogope mwanamke wa dizaini hiyo ni masikini me nimekubishia ni tajiri mpaka aongee hivyosijakuelewa dada shunie
Ila jamani hapana,unatoa mihela yote hiyo kwa usiku mmoja?WTF[emoji23][emoji23]Ubahili kwenye mambo ya hovyo ni faida
Haezi kuwa tajiri believe me, mwanzo wa kudate kwangu enzi nasoma sekondari moja ya boarding kule moshi nilidate mambinti kadhaa, sikujua family status zao....walikuwa wanahitaji starehe za kijinga kinomaa....halafu wamejaa stress lloooh baada ya kudate totoo la kishua nika experience ladha halisi ya penzi!Si umesema wanaume wenzio waogope mwanamke wa dizaini hiyo ni masikini me nimekubishia ni tajiri mpaka aongee hivyo
Umeona eeeehhh!!Ila jamani hapana,unatoa mihela yote hiyo kwa usiku mmoja?WTF[emoji23][emoji23]
Acha tu nife na umasikini wangu
Hiyo hela ni mtaji kabisa
Hahaaa ila best kwa kuchomekea hujambo, sasa hongera ya nini[emoji87] [emoji87]Hahaaa. Haya bana best.
Ila hongera zako pia [emoji122]