Valentine yako iliendaje?

Valentine yako iliendaje?

Juzi ndio nilijua kumbe watu hawana wapenzi wa kueleweka. Kuna vidada maneno meengii kumbe vinanyanduliwa tu.
Sasa kunyanduliwa si ndiyo mapenzi yenyewe....wanaume wameleft uanaume so ke ukipata wa kukunyandua shukuru Mungu😘
 
Hapana, kunyanduliwa si sawa na mapenzi ya wapendanao ya siku ya wapendanao. Hata malaya hunyanduliwa kwa makubaliano maalumu ila anaemnyandua sio ampendae
 
Wanaume wachache sana,ukinyanyuliwa inabidi unyandulike mkuu.....achana na malaya huyo yupo kibiashara....nasemea mnyanduo ule wa hamu afu huna wa kukukuna ☹️
 
Sina mkuu. Tuyajenge basi, mwakani tuwe na cha kusimulia
 
Back
Top Bottom