Valentine yako iliendaje?

Valentine yako iliendaje?

Mimi kuna mwanamke nilikuwa namfukuzia kitambo sana , sasa valentine hii ndio akaamua kuni bless tunda. Tena kwenye gari.
Ajabu kabla ya show alitaka kondom mimi nikamwambia sina tupige hivyo hivyo tu amna shida.
[emoji23][emoji23][emoji23] saa ngap asiniambie yeye anayo ipo kwa pochi yake. Kucheki pochi yake kweli anayo tena 2 . [emoji23][emoji23] ile show niliipiga haswa kweli kweli.
Sasa baada ya kumaliza nikawa najiuliza hii ya mwanamke kuwa na kondom kwa pochi yake ni sahihi kweli.
Toka valentine day sijamcheki , japo yeye Amekuwa akinicheki ila mwamba nampotezea aisee
 
Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama?

Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa?

Let's go😀😀
Mwendo ulikuwa kupiga spana pale nilipo hisi hela itatumika.
 
Back
Top Bottom