Valentine's day

Valentine's day

Nakijua mpaka chumba unacholala, subiri sasa [emoji23]
Mkibomoa mlango sawa mtanipata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana mmenipa mtihani Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi ni mjanja humu tu.
 
Mkibomoa mlango sawa mtanipata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana mmenipa mtihani Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi ni mjanja humu tu.
Nimeona jinsi ulivyokuwa ukihangaika na jacket lako jekundu la Valentine, baridi si baridi, mara umeshika pochi wala unachokitafuta hakipatikani mwanaume nimesimama nakuangalia tu🤓🤓
 
Nimeona jinsi ulivyokuwa ukihangaika na jacket lako jekundu la Valentine, baridi si baridi, mara umeshika pochi wala unachokitafuta hakipatikani mwanaume nimesimama nakuangalia tu[emoji851][emoji851]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom