Valentine's day

leo manabii wa uongo tunaoneshwa mimba tu.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mpaka saa hi kuna mimbaa mpya 500000
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe

Basi ngoja niweke brother
Yani wewe... tuambie valentine wako ni nani ili macrush wako tujue tupo position gani[emoji1787][emoji1787]
 
Leo Ni siku ya wapendanao ambayo ina tafsiri nyingi. Ina wanaovalentika kwa kuchezeana, ina wanaovalentika kwa malengo na ina wale wenye tafsiri mama ya Valentine's ambayo Ni upendo wa agape.

Mimi leo nimekaa nikawaza idadi ya malalamiko niliyowahi kupokea kuhusu kupotezeana muda kwenye mapenzi nikasema niwaulize na ninyi rekodi ipoje huko kwenu?

Kwangu Mimi nimewahi kupokea lawama zipatazo 74 toka nianze kuwapenda ila Kati ya malamiko yote hayo hakuna lalamiko nililokutwa na hatia kwa sababu sijawahi kutoa ahadi ila nadhani wao walijiwekea malengo miyoyoni mwao.

Legends happy Valentine's......
 
Mim nasubili mrejesho kuna watu walichaguana humu nikawaambia wasipo kimbiana siku ya kukutana maana Fake ID kama zote humu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…