Nikilewa nipige ngumi mama we ndo pombe yanguAsante my love
Yes we have to show love on everyday, ila leo mmh watu wamechangamka ni mwendo red flowers tu huko🤔That's right natumaini you don't wait every year kuonyesha how much you love them kwenye tarehe 14 mwezi wa pili 🙂!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio unanikataa hadharani hivi??
[emoji7][emoji177][emoji120]These 3 words are so sweet.
Love you too[emoji257][emoji178][emoji171]
Valentine day inapita njema sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina uchawi kama uko kwa relationship uniambia nisijitag maana hutoweza jizuia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha it was a surprise na nilitaka ibaki hivyo na ndivyo ilivyokuwa. I real missed you.
Dah mmeniweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha it was a surprise na nilitaka ibaki hivyo na ndivyo ilivyokuwa. I real missed you.
Happy Valentine's day to you [emoji257]
Unabadili mada juu kwa juu .....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi leo hujaota umeacha pombe?
Ahahahaha walaa ... sijalewa kabisaa kwanza unaongea moyo wala sio hazard[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka zile kilimanjaro zimeshakolea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unabadili mada juu kwa juu .....
Kwann wewe ndio wakuniachisha