SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Unajigamba wewe ni shabiki kindakindaki wa soka ila nikikuuliza origin ya ushangiliaji huu hata haujui.
Kongore kwa Valentino Mashaka na Che Malone kwa kurudisha ushangiliaji huu classic uliosahaulika kwa miaka mingi siyo sijui Suu wengine wakifunga wanatembea tu, kwamba washajiona wakuuubwa. Huu ni uthibitisho kuwa Simba imesajili vijana wanaojua boli haswa.
Yaani Simba hii, we ngoja tu.