Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤦🏿♂️🤦🏿♂️🤦🏿♂️
Aah huyu simuwezi🤣🤣Mtaelewana tuu,au unataka umchambe kama yule dada wa vocha zilizotumika😂
That day nakustua uachane na vilaza,umeshikilia bomba mwenyeweAah huyu simuwezi🤣🤣
Yani kwa zile shombo..bora wangemkataa tuu kama tulivyomkataa Dula Makabila siku ya Simba Day 😄😄😄😄😃Kuwa hakuna wenye akili Yanga zaidi ya baba yake na Jakaya...😆😄😃
Na kudhihirisha kuwa ni kweli mitusi yote aliyowatukana akiwa simba lakini bado leo wanamsujudia.
Hapo ndo nikasema ule msemo wa maskini akipata makalio hulia mbwataa mbwataaa....Juzi nikaona wanasema wamefunga goli 8, 5+2+1 nikaona hawa kumbe ni wa kuwahurumia tu. Hawa ni mashabiki walioletwa kwenye mpira na Hamisa Mobetto
Hivi mbona huo uzi wa vouchaa ni kama umekua maarufu mnoThat day nakustua uachane na vilaza,umeshikilia bomba mwenyewe
Ubavu huo wanao... Gharib anachokitaka ndicho wanafanya... Nakumbuka walimkataa yule dada Suma Mwaikenda kisa Hersi kasema hamtaki na wenyewe wakajua wakimchagua Gharib atanuna..😃😄😆Yani kwa zile shombo..bora wangemkataa tuu kama tulivyomkataa Dula Makabila siku ya Simba Day 😄😄😄😄😃
Binafsi naona ni dhiki za kijinga tuu .Na wanaotoa wanainga na wengine wanafeki.Hivi mbona huo uzi wa vouchaa ni kama umekua maarufu mno
Duuh au alikuwepo na huyo mtu karibu...Binafsi naona ni dhiki za kijinga tuu .Na wanaotoa wanainga na wengine wanafeki.
Kuna mtu alitoa za elfu 20 kwenye social media moja ila ikagundulika zote ziliingizwa na namba 1 how come? Vocha ya buku x20 zote ingize mtu mmoja?
Kuna funzo kubwa sana limepatikana kwenye ile issue. Msanii gani asiyejielewa hafikirii kesho yake wala hajui mashabiki wake ni kina nani. Kwanza utapimana nguvu na klabu kongwe kama Simba kisa una kaumaarufu ka mpito huko uswazi?Yani kwa zile shombo..bora wangemkataa tuu kama tulivyomkataa Dula Makabila siku ya Simba Day 😄😄😄😄😃
Ila yupo vzr upstairs yule dada..walitaka wadominate walume ndago watupu 😃😃😃Ubavu huo wanao... Gharib anachokitaka ndicho wanafanya... Nakumbuka walimkataa yule dada Suma Mwaikenda kisa Hersi kasema hamtaki na wenyewe wakajua wakimchagua Gharib atanuna..😃😄😆
Sasa hivi wameanza kutuma wachezaji wao waje kuiangalia Simba. Wanaweweseka sana baada ya kuona njia za panya zimefungwaYule dogo Balua...dogo Awesu wako vzr sana......kibu dee naona ameanza kuuwasha wenge limemtoka kwa sasa...
Mo hussein ule ni mfupa uliowashinda fisi..atacheza mpk achoke mwenyewe aisee ana fitness kubwa mno.....
Mimi kama dada yao nawaombea tuu kwa Mungu msimu huu majini yasiwavamie. ..
Waendelee kuruka juu wakishangilia magoli mengi ...
Amina
Labda,Duuh au alikuwepo na huyo mtu karibu...
Aisee ile ni funzo kubwa mnoo...nadhan wasanii watajifunza...Ally Kiba ni Yanga Damu ila leo anaiimbia Simba na tulimkubali na bado ana mashabiki wake wa Yanga..huo ndo usaniiKuna funzo kubwa sana limepatikana kwenye ile issue. Msanii gani asiyejielewa hafikirii kesho yake wala hajui mashabiki wake ni kina nani. Kwanza utapimana nguvu na klabu kongwe kama Simba kisa una kaumaarufu ka mpito huko uswazi?
😃😃😃😃Sasa hivi wameanza kutuma wachezaji wao waje kuiangalia Simba. Wanaweweseka sana baada ya kuona njia za panya zimefungwa
Si utulie OnyangoMnatapatapa sana
Yes.Ila yupo vzr upstairs yule dada..walitaka wadominate walume ndago watupu 😃😃😃
Suma akae apake rangi kucha...😀😀😀Yes.
Mens domination ndiyo ilikuwa objective ya Gharib.
Kwenye kutafuna mirungi Sasa Suma angekwenda kweli..?😆😄😃