Valentino Mashaka na Che Malone wamerudisha huu ushangiliaji classic

Juzi nikaona wanasema wamefunga goli 8, 5+2+1 nikaona hawa kumbe ni wa kuwahurumia tu. Hawa ni mashabiki walioletwa kwenye mpira na Hamisa Mobetto
Hapo ndo nikasema ule msemo wa maskini akipata makalio hulia mbwataa mbwataaa....
Sikutaka kubishana nao nikasema hii ni faraja waliyoitafuta muda mrf sana..
😃😃😃😄😃
 
Yule dogo Balua...dogo Awesu wako vzr sana......kibu dee naona ameanza kuuwasha wenge limemtoka kwa sasa...
Mo hussein ule ni mfupa uliowashinda fisi..atacheza mpk achoke mwenyewe aisee ana fitness kubwa mno.....
Mimi kama dada yao nawaombea tuu kwa Mungu msimu huu majini yasiwavamie. ..
Waendelee kuruka juu wakishangilia magoli mengi ...
Amina
 
Yani kwa zile shombo..bora wangemkataa tuu kama tulivyomkataa Dula Makabila siku ya Simba Day 😄😄😄😄😃
Ubavu huo wanao... Gharib anachokitaka ndicho wanafanya... Nakumbuka walimkataa yule dada Suma Mwaikenda kisa Hersi kasema hamtaki na wenyewe wakajua wakimchagua Gharib atanuna..😃😄😆
 
Hivi mbona huo uzi wa vouchaa ni kama umekua maarufu mno
Binafsi naona ni dhiki za kijinga tuu .Na wanaotoa wanainga na wengine wanafeki.

Kuna mtu alitoa za elfu 20 kwenye social media moja ila ikagundulika zote ziliingizwa na namba 1 how come? Vocha ya buku x20 zote ingize mtu mmoja?
 
Duuh au alikuwepo na huyo mtu karibu...
 
Yani kwa zile shombo..bora wangemkataa tuu kama tulivyomkataa Dula Makabila siku ya Simba Day 😄😄😄😄😃
Kuna funzo kubwa sana limepatikana kwenye ile issue. Msanii gani asiyejielewa hafikirii kesho yake wala hajui mashabiki wake ni kina nani. Kwanza utapimana nguvu na klabu kongwe kama Simba kisa una kaumaarufu ka mpito huko uswazi?
 
Ubavu huo wanao... Gharib anachokitaka ndicho wanafanya... Nakumbuka walimkataa yule dada Suma Mwaikenda kisa Hersi kasema hamtaki na wenyewe wakajua wakimchagua Gharib atanuna..😃😄😆
Ila yupo vzr upstairs yule dada..walitaka wadominate walume ndago watupu 😃😃😃
 
Yule dogo Balua...dogo Awesu wako vzr sana......kibu dee naona ameanza kuuwasha wenge limemtoka kwa sasa...
Mo hussein ule ni mfupa uliowashinda fisi..atacheza mpk achoke mwenyewe aisee ana fitness kubwa mno.....
Mimi kama dada yao nawaombea tuu kwa Mungu msimu huu majini yasiwavamie. ..
Waendelee kuruka juu wakishangilia magoli mengi ...
Amina
Sasa hivi wameanza kutuma wachezaji wao waje kuiangalia Simba. Wanaweweseka sana baada ya kuona njia za panya zimefungwa
 
Kuna funzo kubwa sana limepatikana kwenye ile issue. Msanii gani asiyejielewa hafikirii kesho yake wala hajui mashabiki wake ni kina nani. Kwanza utapimana nguvu na klabu kongwe kama Simba kisa una kaumaarufu ka mpito huko uswazi?
Aisee ile ni funzo kubwa mnoo...nadhan wasanii watajifunza...Ally Kiba ni Yanga Damu ila leo anaiimbia Simba na tulimkubali na bado ana mashabiki wake wa Yanga..huo ndo usanii
Sema yule Dula nadhani ana tabia ya kuongea sana na utoto sijui ujinga...
 
Back
Top Bottom