Valentino Mashaka na Che Malone wamerudisha huu ushangiliaji classic

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Unajigamba wewe ni shabiki kindakindaki wa soka ila nikikuuliza origin ya ushangiliaji huu hata haujui.

Kongore kwa Valentino Mashaka na Che Malone kwa kurudisha ushangiliaji huu classic uliosahaulika kwa miaka mingi siyo sijui Suu wengine wakifunga wanatembea tu, kwamba washajiona wakuuubwa. Huu ni uthibitisho kuwa Simba imesajili vijana wanaojua boli haswa.

Yaani Simba hii, we ngoja tu.
 

Attachments

  • Che Malone.jpg
    133.9 KB · Views: 3
  • Valentino Mashaka.jpg
    198.9 KB · Views: 4
  • Pele signature celebration 2.jpg
    113.8 KB · Views: 4
  • Pele signature celebration.jpg
    227.8 KB · Views: 4
Nasikia wanamuamkia Mjomba Chama,
Nasikia alinuna bana hata siku ya ngao ya jamii aligomea kuvaa medali...
Kisa hakupangwa kikosi cha kwanza
Hizo ndo dalili za uzee...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒkususa susa
Huoni juzi alipangwa?? Kashaanza kuwa mkubwa kuliko utopolo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…