Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba kujuzwa gharama za ushuru za gx 110,cc 1980 ya mwaka 2001(inauchakavu),CIF yake ni 2592 USD?
Msaada wenu tafadhali.
Kaka hiyo current retail selling price unaipata vipi na inajumuisha gharama ya vitu gani?
Hivi hizi bei za TRA za Magari mapya/yalipokua mapya wanazipata wapi? Mimi nina mashaka nazo sana!
Kwa mfano tuangalie bei zifuatazo za Toyota RAV4
Model Year CC Price
RAV 4 ZCA26W 5 - DOOR ≤ 2003 1800 60,111 <- inawezekana Bei kuwa sawa toka 2000 ->2003 ???
RAV 4 ZCA26W 5 - DOOR 2004 1800 53,432
RAV 4 ZCA26W 5 - DOOR 2005 1800 51,206
RAV4 ZCA 3-DOOR 2000 1800 50,379
RAV4 ZCA 3-DOOR 2001 1800 57,149
RAV4 ZCA 3-DOOR 2002 1800 59,825
RAV4 ZCA 3-DOOR 2003 1800 59,825
RAV4 ZCA 3-DOOR 2004 1800 45,481
RAV4 ZCA 3-DOOR 2005 1800 40,932
source Tanzania Revenue Authority - Home
Fananisha bei hizo na bei ya Toyota RAV4 GX 5D Wagon 2013 - $23,300
source: Toyota Rav4 2013 | Crossover SUV
Jamaa wanakisia Ama?
Naambatanisha: Price list ya TRA ya January, 2013 (from Tanzania Revenue Authority - Home)
Halafu kuna Models nyingi za magari hazijawekwa, Je TRA wanatumia njia ipi kupata hesabu za kodi kwa models ambazo hazipo kwenye orodha yao?
Naomba kuelimishwa.
Toyota vanguard usd 8,100 ya mwaka 2007 kodi yake kiasi gani ?
Gariexpress hueleweki mkuu, unatoa majibu mepesi sana, jitahidi kufafanua watu wakuelewe basi😱Ushuru wake ni US 11317 kaka.
ALT: Unaweza kudownload calculator hapo chini kwenye link.
Motor Tax Calculator ni kikokotozi cha ushuru wa TRA pamoja na gharama zingine za kuli clear gari lako bandarini. Kikokotozi hichi n rahisi kukitumia kulinganisha na ile inayotumika na TRA (MS excel). Jua Ushuru na gharama zote kabla ya kuagiza gari lako.
Download link : MOTOR TAX CALCULATOR
Thanks
Gariexpress.com
Support
Gariexpress hueleweki mkuu, unatoa majibu mepesi sana, jitahidi kufafanua watu wakuelewe basi😱
Gari nanunua Japan $ 8100 halafu ushuru inakuwa $11317?
Gariexpress. Hizo bei zenu ni pamoja na ushuru na namba za usajiri. Hakuna gharama ya ziada ambayo mtaje ataingia baada ya kulipia hicho kiasi?