Mkuu, naomba kukusahihisha kidogo. Gharama ya matundu hayo kwenye choo moja ni milion 700 na jumla kwenye kata ndo hiyo 3.5bn ambayo bado pia ni kubwa mno.
Huyu rais anaendeleza ubaguzi. Bagamoyo, shule na vitu vingine vinatolewa na serikali wakati maeneo mengine yanajengwa na wananchi.
Mzee Mwanakijiji, naitafuta hii kwenye ripoti ya CAG, japo siamini kuwa ni kweli, kuna una uwezekano mkubwa the true value ni Milioni 70, lakini wakaandika kwa makosa milioni 700! Common sense hainitumi kuamini hizo figure ni za ukweli, japo kama ni kweli imeandikwa kimakosa, Dr. Slaa is still right kusema kilichoandikwa but might have failed to make sense of it!
Jamani Dr. Slaa amerudia tena suala hili la kuwa huko Bagamoyo kuna matundu ya vyoo yamejengwa kwenye shule moja huko kwa gharama ya karibu shilingi bilioni tatu hivi. Tungeweza kupata picha za matundu hayo tuweze kupima kama suala la value for money lilizingatiwa...
Maana kama Nyumba ya GAvana wa BoT iligharimu karibu bilioni 3 na matundu ya vyoo nayo bilioni 3 kuna mahali kuna mtu kajumlisha vibaya. Natumaini haya mashimo lazima yawe ni first class kwa kweli kama kweli yapo.
Ata kama. 70 million bado ni too much kwa choo.:nono:Mzee Mwanakijiji, naitafuta hii kwenye ripoti ya CAG, japo siamini kuwa ni kweli, kuna una uwezekano mkubwa the true value ni Milioni 70, lakini wakaandika kwa makosa milioni 700! Common sense hainitumi kuamini hizo figure ni za ukweli, japo kama ni kweli imeandikwa kimakosa, Dr. Slaa is still right kusema kilichoandikwa but might have failed to make sense of it!
Jamani Dr. Slaa amerudia tena suala hili la kuwa huko Bagamoyo kuna matundu ya vyoo yamejengwa kwenye shule moja huko kwa gharama ya karibu shilingi bilioni tatu hivi. Tungeweza kupata picha za matundu hayo tuweze kupima kama suala la value for money lilizingatiwa...
Maana kama Nyumba ya GAvana wa BoT iligharimu karibu bilioni 3 na matundu ya vyoo nayo bilioni 3 kuna mahali kuna mtu kajumlisha vibaya. Natumaini haya mashimo lazima yawe ni first class kwa kweli kama kweli yapo.
Mi sishangia kwani Tajiri mkubwa Wagwe au kule moro humuita GWAMI ndiye aliyekuwa DT pale Bagamoyo na sasa ana kesi ya matumizi mabaya ya hela za serikali, huyu Wagwe ni close frendo wa Rizwani na kule msamvu Moro wanajenga nyumba yenye gorofa kadhaa.Hili wakuu JK analijua kwa kina na hizo hela watakuwa wamegawana Wagwe, Riz na JK. Nchi hiii we acha tu, ila mwisho umefika lazima kieleweke mwaka huu.:rip:CCM.
He might be failed to make sense of it, sure. Make it 70 milion as you suggested. Kweli choo cha shule kinajengwa kwa milioni 70? Choo just choo, ama kuna kitu kingine?Mzee Mwanakijiji, naitafuta hii kwenye ripoti ya CAG, japo siamini kuwa ni kweli, kuna una uwezekano mkubwa the true value ni Milioni 70, lakini wakaandika kwa makosa milioni 700! Common sense hainitumi kuamini hizo figure ni za ukweli, japo kama ni kweli imeandikwa kimakosa, Dr. Slaa is still right kusema kilichoandikwa but might have failed to make sense of it!
Mr. Zero, hakuna ubishi kuhusu uwezo wa JK na Kawambwa wake, kuna usomi na umakini, JK kwenye umakini ni sifuri na sio kosa lake, kwa sababu amezoea kuwa spoon fed na watu wa type ya kina Kawambwa, lakini Dr.Slaa kwa umakini ni 100% alipaswa alione hili na kulifanyia kajitathmini.Kwa nini Mh. Kawambwa aliyesoma hiyo ripoti had not failed to make sense out of it?? After all hiyo ripoti iliandaliwa na watu ambao ni wataalamu na wakaipitia kabla ya kusomwa, then ikakabidiwa kwa Kawambwa naye akasoma million 700 na JK akasikia million 700 lakini hakushtuka mpaka leo Dr. wa ukweli anasema ndiyo mnaanza kuleta haya. Sema tu hawa mafisadi wa CCM figure huwa haziwatishi na ndiyo maana Chenge alisema 1 billion ni visenti tu.
Sasa Pasco tuambie hao waandaji wa taarifa ambao wanapaswa kuwa watalamu, Kawambwa ambaye ni professor (Eng.) na JK (Mchumi) wanamatatizo gani mpaka wote hawakuiona hiyo.
Hivi ngekuwa ni benki kosa kama hilo lingechukuliwa vipi??
nyie hivyo vyoo ni vya aina yake, mimi niliviona na nikafanikiwa kupiga picha toilet papers zake. zioneni wenyewe hapo chini. zina haki ya kuwa expensive tena akina kawambwa wameongezea pesa zao kutoka mifukoni kwao kwani bajet ilikuwa haitoshi.
jethro, nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% kuwa it doesn't make sense kwa matundu hayo manne kujengwa kwa milioni 70 ila hilo linawezekana, yaani sio surprise, kama inavyowezekana nyumba moja ya gavana inacost bilioni 4 wakati walimu hawana nyumba ya milioni 5 tuu!, kupanga ni kuchagua, matundu ya choo ndio yaliyokuwa priority ya CCM hapo Mlingotini na wametekeleza.
Hata kama imekosewa! haya ngoja tuseme ndio wamekosea kwa bahati nzuri maaana zingine wanaziweka kwa mifuko yao kwa kukosea makusudi,
Yet its doesnt make sense to other tanzanian kuwa vyoo vinagharimu 70M kwa figure hiyo pia, vyooo tuuu jamani au Bagamoyo yote walijenga vyoo vya shule zilizoko hapo?
Mr. Zero, hakuna ubishi kuhusu uwezo wa JK na Kawambwa wake, kuna usomi na umakini, JK kwenye umakini ni sifuri na sio kosa lake, kwa sababu amezoea kuwa spoon fed na watu wa type ya kina Kawambwa, lakini Dr.Slaa kwa umakini ni 100% alipaswa alione hili na kulifanyia kajitathmini.