Elections 2010 Value for Money: Matundu ya Choo Bagamoyo...

Elections 2010 Value for Money: Matundu ya Choo Bagamoyo...

Mkuu, naomba kukusahihisha kidogo. Gharama ya matundu hayo kwenye choo moja ni milion 700 na jumla kwenye kata ndo hiyo 3.5bn ambayo bado pia ni kubwa mno.

Huyu rais anaendeleza ubaguzi. Bagamoyo, shule na vitu vingine vinatolewa na serikali wakati maeneo mengine yanajengwa na wananchi.

Sasa kama ndio hivyo ntajiuliza sana endapo mtanzania wa kawaida atashindwa kukubalina na Dr.Slaa kuwa Elimu Bure inawezekana kweli.

nyie hivyo vyoo ni vya aina yake, mimi niliviona na nikafanikiwa kupiga picha toilet papers zake. zioneni wenyewe hapo chini. zina haki ya kuwa expensive tena akina kawambwa wameongezea pesa zao kutoka mifukoni kwao kwani bajet ilikuwa haitoshi.

wc001.jpg
 
Mzee Mwanakijiji, naitafuta hii kwenye ripoti ya CAG, japo siamini kuwa ni kweli, kuna una uwezekano mkubwa the true value ni Milioni 70, lakini wakaandika kwa makosa milioni 700! Common sense hainitumi kuamini hizo figure ni za ukweli, japo kama ni kweli imeandikwa kimakosa, Dr. Slaa is still right kusema kilichoandikwa but might have failed to make sense of it!

Kwa nini Mh. Kawambwa aliyesoma hiyo ripoti had not failed to make sense out of it?? After all hiyo ripoti iliandaliwa na watu ambao ni wataalamu na wakaipitia kabla ya kusomwa, then ikakabidiwa kwa Kawambwa naye akasoma million 700 na JK akasikia million 700 lakini hakushtuka mpaka leo Dr. wa ukweli anasema ndiyo mnaanza kuleta haya. Sema tu hawa mafisadi wa CCM figure huwa haziwatishi na ndiyo maana Chenge alisema 1 billion ni visenti tu.

Sasa Pasco tuambie hao waandaji wa taarifa ambao wanapaswa kuwa watalamu, Kawambwa ambaye ni professor (Eng.) na JK (Mchumi) wanamatatizo gani mpaka wote hawakuiona hiyo.

Hivi ngekuwa ni benki kosa kama hilo lingechukuliwa vipi??
 
Vyoo bora na vya anasa kwanza madarasa na elimu bora baadae...serikali ya CCM inawatendaji vichwa mpaka basi !
Jamaa wamelamba fweza unafikiri wanafamilia wanaopiga kampeni wangepata wapi fedha za kuzurura nchi nzima.
 
Hata kama true value ya matundu manne ni shs mil.70 bado its very expensive. Tunataka majibu CCM
 
Jamani Dr. Slaa amerudia tena suala hili la kuwa huko Bagamoyo kuna matundu ya vyoo yamejengwa kwenye shule moja huko kwa gharama ya karibu shilingi bilioni tatu hivi. Tungeweza kupata picha za matundu hayo tuweze kupima kama suala la value for money lilizingatiwa...

Maana kama Nyumba ya GAvana wa BoT iligharimu karibu bilioni 3 na matundu ya vyoo nayo bilioni 3 kuna mahali kuna mtu kajumlisha vibaya. Natumaini haya mashimo lazima yawe ni first class kwa kweli kama kweli yapo.

Ndio maana kuna haja ya kutenganisha uwaziri na ubunge: Sehemu kubwa ya pesa hizi huwarudia waliozitoa serikalini na hata chama husika! Mkuu wa kaya hawezi wakemea akijua kuwa naye sio msafi!

CHAGUA DR.SLAA: TUKOMESHE UKUWADI HUU.
 
Mzee Mwanakijiji, naitafuta hii kwenye ripoti ya CAG, japo siamini kuwa ni kweli, kuna una uwezekano mkubwa the true value ni Milioni 70, lakini wakaandika kwa makosa milioni 700! Common sense hainitumi kuamini hizo figure ni za ukweli, japo kama ni kweli imeandikwa kimakosa, Dr. Slaa is still right kusema kilichoandikwa but might have failed to make sense of it!
Ata kama. 70 million bado ni too much kwa choo.:nono:
 
only in Tanzania, more so Bagamoyo

Kuna partnership moja ya korea ta TZ ilipewa kazi ya kujenga barabara moja huko bagamoyo ikalipwa hela na hawakujenga hata kilometa moja, isijekuwa contractor huyo ndo mhusika kwenye kujenga vyoo
 
Mi sishangia kwani Tajiri mkubwa Wagwe au kule moro humuita GWAMI ndiye aliyekuwa DT pale Bagamoyo na sasa ana kesi ya matumizi mabaya ya hela za serikali, huyu Wagwe ni close frendo wa Rizwani na kule msamvu Moro wanajenga nyumba yenye gorofa kadhaa.Hili wakuu JK analijua kwa kina na hizo hela watakuwa wamegawana Wagwe, Riz na JK. Nchi hiii we acha tu, ila mwisho umefika lazima kieleweke mwaka huu.:rip:CCM.
 
Serikali ya ccm ufisadi umejaa kila sehemu. Ukisoma kati ya sentensi utaona ni balaa. Sasa unajua tena mkuu wetu huwa hana hafanyi uhakiki ndiyo bahati yetu tunapata data hizi. Waendelee kuwa hivi ili tuwajue vizuri.
 
Jamani Dr. Slaa amerudia tena suala hili la kuwa huko Bagamoyo kuna matundu ya vyoo yamejengwa kwenye shule moja huko kwa gharama ya karibu shilingi bilioni tatu hivi. Tungeweza kupata picha za matundu hayo tuweze kupima kama suala la value for money lilizingatiwa...

Maana kama Nyumba ya GAvana wa BoT iligharimu karibu bilioni 3 na matundu ya vyoo nayo bilioni 3 kuna mahali kuna mtu kajumlisha vibaya. Natumaini haya mashimo lazima yawe ni first class kwa kweli kama kweli yapo.

:doh: yaani hayo matundu ni first class kiukweli ukienda huko kwenye shughuli zake wee kazi yako ni kusimama halafu automatic yenyewe yana sense kuwa alieingia ni mwanamke au mwanaumwe so unashtukiwa umesha vuliwa umekalishwa ukimaliza unasafishwa kila kitu halafu unapuliziwa na perfurm ukitoka huko aah mashalah wanukia manukato tena ya madesigner wakubwa CK,VICTORIA,DIOR,CHANEL nk.

Kwamaana nyingine JUMBA LA GAVANA ni VYOO VYA BAGAMOYO :becky::becky::becky::heh::heh::heh::lol::lol::lol:
 
Mi sishangia kwani Tajiri mkubwa Wagwe au kule moro humuita GWAMI ndiye aliyekuwa DT pale Bagamoyo na sasa ana kesi ya matumizi mabaya ya hela za serikali, huyu Wagwe ni close frendo wa Rizwani na kule msamvu Moro wanajenga nyumba yenye gorofa kadhaa.Hili wakuu JK analijua kwa kina na hizo hela watakuwa wamegawana Wagwe, Riz na JK. Nchi hiii we acha tu, ila mwisho umefika lazima kieleweke mwaka huu.:rip:CCM.

Mkuu heshima mbele,

Yaani kati ya wote waliopita wameshindwa ku connect dots, ishu ya jamaa wa Bagamoyo na Jerry Muro nadhani ndio haswa mahala muafaka pa kuunganishia hizo dots. Jerry alichokuwa akifuatilia huko Bagamoyo yawezekana na hii ni miongoni mwake, lakini watu wakambambikiza kesi ili asitoe matokeo ya uchunguzi wake na mpaka sasa hatujui alipo.

Kwa kweli Dr. Slaa anazo data nyingi ambazo zinawanyima watu usingizi, kuna kila dalili za watu kuchakachua matokeo alimradi aibu zao zisifichuliwe, kwani hata leo Dr. alisema yeye hana marafiki sheria na haki ndio msingi. Sasa kazi kwenu. Mpeni Dr. Slaa kura turekebuishe nchi yetu.
 
Mzee Mwanakijiji, naitafuta hii kwenye ripoti ya CAG, japo siamini kuwa ni kweli, kuna una uwezekano mkubwa the true value ni Milioni 70, lakini wakaandika kwa makosa milioni 700! Common sense hainitumi kuamini hizo figure ni za ukweli, japo kama ni kweli imeandikwa kimakosa, Dr. Slaa is still right kusema kilichoandikwa but might have failed to make sense of it!
He might be failed to make sense of it, sure. Make it 70 milion as you suggested. Kweli choo cha shule kinajengwa kwa milioni 70? Choo just choo, ama kuna kitu kingine?
Remember huko huko bagamoyo PM chased out the DT, and further TANROADS wameripotiwa kufanya ufujaji kwenye tenda ya barabara ya bagamoyo - pangani.
 
Kwa nini Mh. Kawambwa aliyesoma hiyo ripoti had not failed to make sense out of it?? After all hiyo ripoti iliandaliwa na watu ambao ni wataalamu na wakaipitia kabla ya kusomwa, then ikakabidiwa kwa Kawambwa naye akasoma million 700 na JK akasikia million 700 lakini hakushtuka mpaka leo Dr. wa ukweli anasema ndiyo mnaanza kuleta haya. Sema tu hawa mafisadi wa CCM figure huwa haziwatishi na ndiyo maana Chenge alisema 1 billion ni visenti tu.

Sasa Pasco tuambie hao waandaji wa taarifa ambao wanapaswa kuwa watalamu, Kawambwa ambaye ni professor (Eng.) na JK (Mchumi) wanamatatizo gani mpaka wote hawakuiona hiyo.

Hivi ngekuwa ni benki kosa kama hilo lingechukuliwa vipi??
Mr. Zero, hakuna ubishi kuhusu uwezo wa JK na Kawambwa wake, kuna usomi na umakini, JK kwenye umakini ni sifuri na sio kosa lake, kwa sababu amezoea kuwa spoon fed na watu wa type ya kina Kawambwa, lakini Dr.Slaa kwa umakini ni 100% alipaswa alione hili na kulifanyia kajitathmini.
 
Hii imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi yetu!!!tubadilike jamani!!
 
nyie hivyo vyoo ni vya aina yake, mimi niliviona na nikafanikiwa kupiga picha toilet papers zake. zioneni wenyewe hapo chini. zina haki ya kuwa expensive tena akina kawambwa wameongezea pesa zao kutoka mifukoni kwao kwani bajet ilikuwa haitoshi.

wc001.jpg

Ukichambia dola, lazima uwe unakunya shilingi...pesa yetu ya madafu ambayo imekosa 'purchasing power'. Ila uchumi wa bagamoyo ni balaa....yaani matundu manne ya vyoo shs. milioni 700!!!!! .....Kweli makafiri tu ndio watakaopigia kura CCM.
 
Hata kama imekosewa! haya ngoja tuseme ndio wamekosea kwa bahati nzuri maaana zingine wanaziweka kwa mifuko yao kwa kukosea makusudi,
Yet its doesnt make sense to other tanzanian kuwa vyoo vinagharimu 70M kwa figure hiyo pia, vyooo tuuu jamani au Bagamoyo yote walijenga vyoo vya shule zilizoko hapo?

jethro, nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% kuwa it doesn't make sense kwa matundu hayo manne kujengwa kwa milioni 70 ila hilo linawezekana, yaani sio surprise, kama inavyowezekana nyumba moja ya gavana inacost bilioni 4 wakati walimu hawana nyumba ya milioni 5 tuu!, kupanga ni kuchagua, matundu ya choo ndio yaliyokuwa priority ya CCM hapo Mlingotini na wametekeleza.

Sitetei matumizi mabaya ya fedha, lakini niko open to posibilities, kila choo kimegharimu milioni 17,500,000. Ndio maana hata ule mjadala nyumba ya Gavana, nilisema nyumba za bilioni 3 zipo na ni za kawaida na za bilioni 100 pia zipo, kama zilivyo simu za nokio ya kawaida ipo kwa Shilingi elfu 25,000 na Nokio Siroco ipo kwa Dola, 2500!. Saa ya casio ipo kwa Shilingi 1000, na Rado/Rolex ipo pia kwa Shilingi milioni 5!, tungeviona hivyo vyoo ndipo tungeweza kujustify thamani yake and try to make sense out of it.
 
Mr. Zero, hakuna ubishi kuhusu uwezo wa JK na Kawambwa wake, kuna usomi na umakini, JK kwenye umakini ni sifuri na sio kosa lake, kwa sababu amezoea kuwa spoon fed na watu wa type ya kina Kawambwa, lakini Dr.Slaa kwa umakini ni 100% alipaswa alione hili na kulifanyia kajitathmini.

Mkuu Pasco, nilikuwa Mwembeyanga jana na hata wale waliokuwepo wanakumbuka Slaa alisema hizo ndio figure zilizoandikwa, ila hata yeyey alionya kuwa ikiwa kuna makosa kwenye maandishi (kama wewe unavyohisi) basi huo utakuwa ni uzembe wa hali ya juu kwa kiongozi mkuu wa nchi kusomewa taarifa hiyo na yeye asiulize kwa makini eneo hilo>
 
Ila jambo la kukumbuka ni kuwa hizo Mil.700 ni kwa kila matundu katika maeneo matano tofauti.
Sasa hapa swali ni kuwa hata kama walikosea, je ndio wakosee figure kwa maeneo yote matano???? Pia ikiwa zimeandikwa kwa tarakimu sawa makosa yanaweza kuwepo ila ikiwa hizo milion mia saba zimeandikwa kwa maneno, binafsi nitaamini kuwa wamedhamiria na swala la kukosea hapo siwezi kuliamini
 
Back
Top Bottom