Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 371
Mkuu, naomba kukusahihisha kidogo. Gharama ya matundu hayo kwenye choo moja ni milion 700 na jumla kwenye kata ndo hiyo 3.5bn ambayo bado pia ni kubwa mno.
Huyu rais anaendeleza ubaguzi. Bagamoyo, shule na vitu vingine vinatolewa na serikali wakati maeneo mengine yanajengwa na wananchi.
Sasa kama ndio hivyo ntajiuliza sana endapo mtanzania wa kawaida atashindwa kukubalina na Dr.Slaa kuwa Elimu Bure inawezekana kweli.