Chriss Brown ratiba aliyopewa ni kua after Wizkid atafuata yeye,Tatizo naye Kiba ali delay kupanda jukwaani kisa anajipima nguvu na wizkid....
Kiba atafutiwe mshauri nasaha
Uko sahihiWenzetu wanajua kwenda na muda lile tamasha ilibidi lianze saa 8 mchana lakin likaanza saa 3 usku (naskia et lakin)
Sasa Kiba alipoteza tyme kwenye kubishana kuwa msanii mdogo wiz kid (nadhani alimaanisha mdogo ki umri)aanze alafu yeye ndo aingie then chris ndo amalizie.
Walipo kuja kina Chris wakasema tym yetu msha tuchelewsha sana mtu ache tuimbe , so walikuwa sahihi
Na ndipo ndugu yetu akazimiwa maiki kwa aibu kama hivo
We kula ulaleKiba hana nafasi ya kushibdana na Diamond, Kiba saizi yake KR Mula mzee wa Cd700
SureTamasha halikuwa na maandalizi mazuri ya kutosha, lawama ni kwa waandaaji uswahili mwingi.
Shobo maana yake jamaa hatak kushobokewa.We nae mgum kuelewa...Shobo ndio nini ?
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Vee Money alikuwa anategemea kupiga nae selfie auzie nyago kakosa ndio maana madai. Kama anamfahamu vile, lini alikutana nae mpaka ajue mood zake nzuri au mbaya.
Jamas nadhani alimaindi baada kuzushiwa amevunja simu ya shabiki kuanzia hapo akawa ataki kuongea na mtu yoyoteShobo maana yake jamaa hatak kushobokewa.We nae mgum kuelewa...
Aiseee hebu nisaidie kunielewesha nimeishia la nne B ,kushobokewa kuna uhusiano gani na mtu kutokuwa na mood ya kufanya kazi anayolipwa ?Shobo maana yake jamaa hatak kushobokewa.We nae mgum kuelewa...
Uswahili wa waandaaji+ uswahili wa kiba= aibuTamasha halikuwa na maandalizi mazuri ya kutosha, lawama ni kwa waandaaji uswahili mwingi.
Mimi nilitalajia atachezea chama langu la Dar Yanga Afrika msimu huu kumbe bado anaupenda muziki? Akili yangu yote huyu muziki ni starehe tu mpira ndio kazi yake!!Naona hisia za huyo Kiba zilijeruhiwa vibaya mno.