Vanessa Mdee afichua sababu za Ali Kiba kuzimiwa Mic Mombasa

Vanessa Mdee afichua sababu za Ali Kiba kuzimiwa Mic Mombasa

Tatizo naye Kiba ali delay kupanda jukwaani kisa anajipima nguvu na wizkid....
Kiba atafutiwe mshauri nasaha
Chriss Brown ratiba aliyopewa ni kua after Wizkid atafuata yeye,
So alishangaa Kiba anapanda after Wizkid ndio akamaind,
Muda alioupoteza Kiba kubishana nani apande kati yake na Wizkid ndio muda wake uliokatwa, so malipo ni hapahapa duniani.
 
Wenzetu wanajua kwenda na muda lile tamasha ilibidi lianze saa 8 mchana lakin likaanza saa 3 usku (naskia et lakin)
Sasa Kiba alipoteza tyme kwenye kubishana kuwa msanii mdogo wiz kid (nadhani alimaanisha mdogo ki umri)aanze alafu yeye ndo aingie then chris ndo amalizie.
Walipo kuja kina Chris wakasema tym yetu msha tuchelewsha sana mtu ache tuimbe , so walikuwa sahihi
Na ndipo ndugu yetu akazimiwa maiki kwa aibu kama hivo
Uko sahihi
 
Vee Money alikuwa anategemea kupiga nae selfie auzie nyago kakosa ndio maana madai. Kama anamfahamu vile, lini alikutana nae mpaka ajue mood zake nzuri au mbaya.
 
Yan waandaaji walishaanza kuingiza u [HASHTAG]#KIBAKI[/HASHTAG] kwenye shoo
 
Vee Money alikuwa anategemea kupiga nae selfie auzie nyago kakosa ndio maana madai. Kama anamfahamu vile, lini alikutana nae mpaka ajue mood zake nzuri au mbaya.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Shobo maana yake jamaa hatak kushobokewa.We nae mgum kuelewa...
Aiseee hebu nisaidie kunielewesha nimeishia la nne B ,kushobokewa kuna uhusiano gani na mtu kutokuwa na mood ya kufanya kazi anayolipwa ?
 
Chris Brown - "Takes Time to Love" with Lyrics

 
Back
Top Bottom