Vanessa Mdee aja na muonekano mpya, sasa kama Bob Marley

Hizo nywele zake zikikuwa kwa mwezi mmoja bila kuzikata zitamzidi urefu
 
Mtvmama2016 Haikuwa ya mchezo mchezo , kwa muonekano huu huenda mwakani akafanikiwa kuchomoka mbele ya Alade ..
 
Mkuu nakupa 5 Bob aliimba living songs ambazo zinapigwa hadi leo na hakuimba za mapenzi kama huyu
Za mapenzi aliimba pia idont want to waiting in vain for your love... Mapenzi ndio kila kitu hayakwepeki so mtaalam Wa kuimba hawezi acha kuimba love songs
 
Mtoto mdogo anajizeesha na marangi rangi hayo. Hata Kama ni urembo naona amejitwisha mzigo
 
Huo muonekano kwako ni kama wa Bob Marley? Kama humjui Bob Marley usimfananishe na watu wakijinga...
Bob Marley ana uspesho gani mpk asifananishwe na binadam wengne au kwa sababu alikuwa mvuta bangi maarufu
 
Wasukuma wanasemaga

Hivi adenankandi????
Hana washauri?? Kama kakatuni tu haha ha
 
Mkuu nakupa 5 Bob aliimba living songs ambazo zinapigwa hadi leo na hakuimba za mapenzi kama huyu
Tatizo ni umri sijui yaani kweli mtu unaweza fananisha Bob Marley na ujinga huu???

Kweli maadili yamemomonyoka sana.
 
wakati zamani naangalia kipindi cha wanyama Televisheni ya Taifa, kulikua na sokwe wawili mmoja anaitwa McRegan, mwingine anaitwa Fifi..
mimi nahisi huyu ni Fifi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…