Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Asisahaukureport.... j3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Na asisahau kwenda Central Police kwa ajili ya mahohiano
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]asubiri j3 akalogwe central,sisi tumeshindwa...
Nasikia na yeye anakula sembe mkuuAnakuwa kama doll
Duh!Hahahahaha minywele kama pazia la baa
Ha ha ha haa. Braza huwa sipendi ujinga. Ndio nini sasa kunikenulisha meno asubuhi yote hii.?Hahahahaha minywele kama pazia la baa
Ulijuaje kaka duuuSi bure, Atakuwa ameanza kutumia majani, ila kama bado muda ni mwalimu mzuri.
Acheni kuhusisha majani na vitu vya ajabu ajabu,angekuwa herbalist angesokota dreadlocks kwa nywele zake mwenyewe,sio hyo mikatani pori.Si bure, Atakuwa ameanza kutumia majani, ila kama bado muda ni mwalimu mzuri.
Ukitaka kufahamu tabia ya mtu angalia "dustbin - pipa lake la taka"Ulijuaje kaka duuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] masinzi...Hivi anapakaga nini mdomoni kama masinzi?