wise samura
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 515
- 297
Wabongo hamna dogo kazi majungu tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kinyago....
For sure. Watu wengine wanaudhi jmn basi tu. Mpeni Mfalme heshima yake msituharibie siku bure tafadhali pkease pleaseHuo muonekano kwako ni kama wa Bob Marley? Kama humjui Bob Marley usimfananishe na watu wakijinga...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]asubiri j3 akalogwe central,sisi tumeshindwa...Anaomba mumloge
Anakuwa kama dollhuyu mdada ni mzuri tu ila sijui ni nini kinamdanganya kuweka muonekano wako ovyo kiasi hicho yani sijui ni umagharibi mwingi kuna macostume ya kuvaa maslut yeye anayavaa nilivyoona wimbo wake wa uniroge ndo nikamshangaa hapendezei yani kujiweka hivyo. Naona atulie tu na muonekano wakueleweka sio mawigi mpaka ya kijani.