Kuwa na heshima bwana mdogo Bob Marley sio wa kuletewa mchezo mchezo na nyie vijana..Bob Marley ana uspesho gani mpk asifananishwe na binadam wengne au kwa sababu alikuwa mvuta bangi maarufu
Mkuu ni kweli ila nimetania tu mkuuMkuu mungu anakuona
Wewe tu ndio ulikuwa haujui kama anarandukaSi bure, Atakuwa ameanza kutumia majani, ila kama bado muda ni mwalimu mzuri.
Anamfananisha Marley na vitu vya kijinga. Huyu jamaa ni wa wapi Huyu!Naomba uedit hiyo heading na uache kucheza na jina la Bob Marley.
Nimeupenda huu muonekano wake mpya.
Kila mtu kufuata maisha yake haiwezekaniKila mtu afate maisha yake