Vanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake
Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube
Baaadhi ya mashabiki wameonekana kutokubali na muonekano huu View attachment 426524 View attachment 426525View attachment 426526