stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Nice,she's a star,she is supposed to look like a star.Vanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake
Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube
Baaadhi ya mashabiki wameonekana kutokubali na muonekano huu
View attachment 426524
View attachment 426525View attachment 426526