Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Nashangaa ujue km div2 ni vipanga ,basi vipanga tuko shaziMi ni kichwa mlongo!maisha tu yametuvalia boxer tumekuwa wehuwehu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa ujue km div2 ni vipanga ,basi vipanga tuko shaziMi ni kichwa mlongo!maisha tu yametuvalia boxer tumekuwa wehuwehu
Huwezi soma elimi mbovu ukafaulu ukajiona mwenye akili mkuu!!Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM.
Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu ARUSHA MODERN SCHOOL mwaka 2003 ambao pia ni mwaka ambao Komredi Jokate Mwegelo alihitimua.
Hawa mabinti wadogo wawili walifanya vizuri sana kwenye mitihani yao. Inajulikana Jokate alipasua division one kali sana pale St Anthony Mbagala ila kwa Vanesa imekuwa haisemwi sana kuhusu elimu yake. Ukiangalia matokeo ya Vanesa form IV utaona alipiga Division II.19 (Tamka Two ya 19)
CIV-D HIS-C GEO-C KIS-C ENG-B FRE-C PHY-C CHE-C BIO-B BAS-D
huku akiwa pia kafanya vizuri masomo ya sayansi kama ilivyokuwa kwa Jokate.
Sijui zaidi kuhusu nini kiliendelea baada ya matokeo hayo ya form IV ila itoshe kusema kuwa Vanessa alikuwa kipanga shuleni. Hii nimeandika makusudi ili mabinti walio shuleni wajue shule ni muhimu kuliko kukimbilia umaarufu huku kichwani ukiwa mtupu. Vanessa na Jokate ni mifano hai ya kuigwa na wasichana wote Tanzania.
2003 elimu ilikua jiwe kakaNeno kipanga limekosa heshima katika huu uzi.....2 ya 19 anaitwa kipanga kweli UVCCM hamna akili hata huyo jokate ukifatilia utakuta alipata one za 16 au 17 huko.
Wewe ni mtu mjinga sana kuwahi kutokea Tanzania. Unadhani bila hizo As na Bs utapata connection kirahisi? Nenda kaangalie matokeo ya Mwigulu, Zitto, Maharage Chande, Jerry Slaa na mawaziri wengine kisha rudi hapa uponde. Hizi enzi vilaza hawahitajiki hata ndani ya chama.. pale UVCCM kwa sasa wengi sana ni wasomi wa vyuo vikuu.Huwezi soma elimi mbovu ukafaulu ukajiona mwenye akili mkuu!!
Hao kina jokate wamefika walipo sio kwa akili Bali connection mkuu!!
As,B's au C's za elim ya Bongo hazijawahi kuwa kigezo Cha akili!!ingekua hivyo Bas professions ndio zingelipa kuliko siasa!
Niishie hapo!