Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Sijaleta makasiliko nimeandika kulingana na ulivo andika.Kuna sehemu nimeandika napungukiwa mkuu? au unaleta makasiriko yasiyo na maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaleta makasiliko nimeandika kulingana na ulivo andika.Kuna sehemu nimeandika napungukiwa mkuu? au unaleta makasiriko yasiyo na maana.
Najua JF wote mlipiga One za 7.Yaani hii nchi,,, kwahiyo II-19 ndo kipanga?
Hahaaha dah jf banaHata masha love nae alikua mwewe!
Kasom Arusha Moden SchoolHiyo perfomance ni ya kawaida sana...tena kama kasoma private
Ya nn ss hapa mkuu🤣Weka tokeo.
Ccm Italifanyia KaziNae apewe kitengo, atoke Amerika arudi kuwa mkuu wa wilaya, akipewa Kasulu itapendeza.
Vipanga wote wanapata daraja la kwanza tena ndani kuwe na misonge (sijui kama unaelewa nnaposema sema misonge)Kwahiyo ni kilaza? Acha chuki za kifala wewe.
Huyu anatupanga huyo anayemfanyia uchawa hana kichwa cha kupata phys B na chem A .........Matokeo haya hayaendani na uhalisia wa physics na hesabu.
Ni jambo la ajabu mtu kupata hesabu D halafu physics ukapata B. Maana hesabu ni rahisi kuliko physics. Na bila kujua hesabu huwezi kupata B ya physics na A ya chemistry. Labda kama physics na chemistry alipiga chabo
Me nimepata 1 ya 15 mwaka 2012 lakini sikai kijiwe cha vipanga.Mkuu kupata 2 ya 19, 2003 haikuwa jambo dogo kabisa, consider kwa mazingira ya wakati ule
mwenye 1.10 ni pure kipanga maana hapo ni kabla akili yake haijawa na mambo mengi alikuwa na akili pure.Hivi mwenye Div 2.19 akapata 4.4GPA akawa lecturer
Halafu mwenye 1.10 akapata 3.5GPA
YUPI NI KIPANGA??
Nani alikuwa kipanga kuliko mwenzieHii inanikumbusha battle kati ya CCNP Engineer na Humble African watu walipost mpaka vyeti kuonyesha ukipanga wao. I miss those days.
Ulipata One?Kumbe Mimi nilikuwa kishoka!kama dv11.19 alikuwa kipanga.
Asa mbona huna akili!?Mwaka 94 mkuu...
Milambo High school...
Unatatizo na mimi kwani?
JF na Twitter (X) ni mitandao ya watu much know... kama division 2 ni kawaida kila mtu angepata.Tangu lini Division 2 ya Point 19 ikawa na sifa za kumuita mtu KIPANGA.
Kiujumla Division 2 ya O level ni kwa average students.
Kumbuka ukipata alama B kwa masomo 7 unakuwa na Division 1 ya point 14.
Huyo alikuwa average, hongera kwake ila hana sifa ya kuitwa Kipanga.
Ngoja nikujibu Humbly kabisa...Asa mbona huna akili!?